Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Health & Fitness Blogs  >  Afya Na Kiasi health-and-fitness Blog  > 

KILA RIKA HUPATA UTAPIAMLO
2018-02-19 12:19
Utapiamlo ni hali ambayo hutokana na kupata chakula ambacho virutubishi vyake havitoshi au viko vingi hadi kusababisha matatizo ya kiafya.Neno hili hutumika mara kwa mara hasa kurejelea hasa… Read More
CHANZO CHA HARUFU MBAYA MDOMONI
2018-02-19 11:45
Katika maisha ya kila siku yawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye akiongea au kutoa pumzi kinywani au puani utasikia harufu mbaya.Kwa kawaida mdomo na pua huweza kutoa p… Read More
HAYA NI MATATIZO YA KUTOPATA HEDHI
2018-02-19 11:22
Ni Dhahiri kuwa kukosa au kutopata kabisa hedhi ni tatizo linalowapata wanawake wengi.Kwanza kabisa ni vyema mwanamke akatambua ukweli kuwa, kukosa hedhi ni tatizo la kiafya, hata kama lisip… Read More
NJIA BORA ZA ULAJI WA CHAKULA KWA AFYA BORA
2018-02-19 11:01
Mtindo bora wa maisha ni kuishi kwa kuzingatia kanuni za afya na kwamba, mtindo bora wa maisha unahusisha kuzingatia ulaji bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka matumizi ya pombe, kuepuka… Read More
UMUHIMU WA TOHARA KWA WANAUME
2018-02-19 10:43
Tohara ni kitendo kinachokubalika kijamii, kidini na kwa baadhi ya tamaduni.  Kwanza ni vizuri kujua tohara ni nini?Tohara ni upasuaji wa kitabibu ambao huiondoa ngozi ya mbele iliyocho… Read More
MADHARA YA UTOAJI MIMBA
2018-02-19 10:29
Utoaji mimba (abortion) ni kitendo cha kusitisha mimba kabla ya wiki 22 hadi 24 za ujauzito kamili wa mwanamke.  Utoaji mimba upo wa aina kuu mbili, kuna kutoa mimba kiharamu na kutoa m… Read More
TATIZO LA MUWASHO NDANI YA KOO
2018-02-13 05:00
Muwasho ndani ya koo unatokana na sababu mbalimbali japo kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mzio (aleji) wa vitu ikiwamo ile itokanayo na baadhi ya vyakula.Kupitia mzio unaotokana na vyakula… Read More
KOROSHO HUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE
2018-02-12 12:13
Utafiti uliofanywa kuhusu korosho, umeonesha zina faida nyingi kiafya ikiwamo tiba ya maradhi ya moyo.Tunaelezwa ulaji wa korosho mara kwa mara husaidia kuweka sawa afya ya moyo kwa sababu l… Read More

Share the post

Afya Na Kiasi

×

Subscribe to Afya Na Kiasi

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×