Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

HII NDIO TIMU AMBAYO INASEMEKANA IMEMSUKUMA MAYANJA AACHANE NA SIMBA AJIUNGE NAYO BONGO

Siku moja baada ya kuamua kuondoka Simba, imeelezwa kuwa Kocha Jackson Mayanja ana mpango wa kujiunga na Kagera Sugar.

Taarofa zinaeleza, Mayanja anakwenda Kagera Sugar kuchukua nafasi ya Mecky Maxime ambaye mambo yamemuendea vijana.

Jana jioni, kiongozi mmoja wa Kagera Sugar aliyedai si msemaji wa klabu, alisema wanamhitaji Mayanja lakini hawahusiki na kuondoka kwake Simba.

“Tuliwahi kuzungumza na Mayanja tuliposikia Simba wanataka kumuacha. Lakini kwa sasa naweza kusema bado tunamtaka akiwa na nafasi.

“Lakini hatujashinikiza aondoke Simba na kama ikitokea yuko free, tunaweza kuzungumza naye kuangalia namna ya kuongeza nguvu,” alisema.

Hata hivyo, kiongozi huyo alikataa katakata kuzungumzia suala la Maxime kama anaondoka au anaendelea kubaki.


“Hilo la Maxime tuliache kwa sasa,” alisema kwa ufupi
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA


This post first appeared on Tanzania Hot News, please read the originial post: here

Share the post

HII NDIO TIMU AMBAYO INASEMEKANA IMEMSUKUMA MAYANJA AACHANE NA SIMBA AJIUNGE NAYO BONGO

×

Subscribe to Tanzania Hot News

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×