Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Blogging Blogs  >  Maisha Yetu blogging Blog  > 

Padre Auwawa Na Waasi Kongo
2018-04-09 07:43
Kasisi wa kanisa katoliki ameuawa kwa kupigwa risasi na waasi wa kundi la Mai Mai Nyatura Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo, kwa mujibu wa yanzo vya usalama.Mauaji na visa vya ut… Read More
Mgunduzi Wa Tanzanite Azawadiwa Milioni 100
2018-04-08 04:06
Rais John Magufuli ameahidi kutoa shilingi milioni 100 za Tanzania, karibu na dola za kimarekani elfu 44 kumzawadia Bwana Jumanne Ngoma ambaye aligundua madini ya Tanzanite na kumtambua kuwa… Read More
Miaka 46 Kumbukumbu Ya Mzee Karume
2018-04-08 03:54
WAZANZIBARI wamo katika kumbukumbu muhimu sana ya kutimia miaka 46 tangu rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu mzee Abeid Amani Karume alipofariki dunia.Kwa hakika hilo ni tukio muhimu sana… Read More
Bayern Munich Tayari, Bado Man City
2018-04-07 20:18
Klabu ya soka ya Bayern Munich imetwaa taji la Bundesliga msimu wa 2018/19 baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Augsburg kwenye mchezo uliomalizika jioni hii.Bayern sasa imeweka rekodi ya… Read More
Serikali Yawapa Siku 23 Wamiliki Wa Nyumba
2018-04-07 11:41
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wananchi wote wanaomiliki ardhi ambao wamekuwa hawalipi k… Read More
Mkuu Wa Majeshi Amuahidi Ushirikiano JPM
2018-04-06 19:42
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema kuwa kwa kuzingatia kiapo chao wataendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jesh… Read More
Ester Bulaya Naye Aitwa Polisi Dar
2018-04-05 10:13
Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA Ester Amos Bulaya, ameitwa kituo cha polisi cha kati jijini Dar es salaam huku akiwa hana taarifa za sababu ya wito huoAkizungumza na www.eatv.tv, Ester… Read More
Usipuuze Haya Kipindi Cha Ujauzito
2018-04-04 08:47
Hata kama umesoma sana na kuongea na wazazi mbalimbali kuhusu dalili mbali mbali kipindi cha ujauzito, bado itatokea baadhi ya wakati ambapo utakuwa huna uhakika kama unavyojisikia ni kawaid… Read More
Simba Anguruma Njombe
2018-04-04 03:45
Magoli mawili ya mshambulia John Bocco wa Simba yameipa ushindi timu yake dhidi ya Njombe Mji kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara na kufikisha pointi 49 pointi tatu mbele ya Yanga ambayo… Read More
Mufti Mkuu Wa Tanzania Awaasa BAKWATA
2018-04-03 04:08
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi, amesema, wakati umefika kwa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania, BAKWATA kubadilika ili kuweza kuendesha shughuli zake kiuweledi na kuachana na ku… Read More
Yanga Yachapwa Na Singida United
2018-04-01 20:03
Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi katika Azam Sports Federation Cup imemalizika Uwanja wa Namfua kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 kwa njia ya matuta dhidi ya Yanga.Mchezo… Read More
Abdel Fattah Al-Sis Kuiongoza Tena Misri
2018-04-01 04:17
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amechaguliwa kwa muhula wa pili baada ya matokeo ya awali kuonesha kuwa ameshinda kwa asilimia 92 ya kura zote, wakati huu ni asilimia 40 tu ya kura zote.W… Read More
Ngorongoro Heroes Wapata Sare Nyumbani
2018-04-01 03:50
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes) imeanza kwa kupata matokeo ya sare ya bila kufungana katika harakati za kuwania nafasi ya kushiriki fainali za Afrika kw… Read More
2018-03-31 09:53
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka CECAFA ikiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa ngazi ya klabu.TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanza… Read More
Wabunge Sita Wapata Ajali, Wanusurika
2018-03-30 13:27
Wabunge sita wa Jamhuri Muungano wa Tanzania kutoka Visiwani Zanzibar wamenusurika kufa baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam kupata ajali katika eneo la Bw… Read More
AFYA: Fahamu Kiundani Ugonjwa Wa Kisukari
2018-03-29 07:20
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni kama ya moyo… Read More

Subscribe to Maisha Yetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×