Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. ADAM KIGHOMA MALIMA amewataka wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania-TPA kutumia michezo ya bandari 2023 kuimarisha afya zao na kuongeza tija… Read More
Sheikh maarufu Manispaa ya Shinyanga na Kanda ya Ziwa kwa ujumla Sheikh Msafiri Kitumbo ambaye pia ndiye Mratibu wa Maulid za Mtume Mohamed S.A.W Kanda ya ziwa amempongeza na kumfananisha… Read More
Timu ya Yanga Sc imepokea kichapo cha goli 2 - 1 kutoka kwa Ihefu Fc.
Mchezo huo umepigwa leo Oktoba 4, 2023 katika uwanja wa Ubaruku ulioko Mbalali jijini Mbeya.
Ambapo katika mchezo… Read More
Na Mwandishi Wetu, IRINGA.
Timu ya wanaume ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kamba kwenye mashindano ya Shirikishio la Michezo la Wizara na Ida… Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
Mahakama ya Indonesia imemfunga jela mwanamke mmoja miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka sheria za kukufuru za nchi hiyo katika video ya chakula ya TikTok aliyochapisha mwez… Read More
Walianza watanzania wachache sana kutamba kwenye soka la ushindani tena nje ya ardhi ya Tanzania. Kuna Sunday Manara na Je ni nani asiyefahamu mapambano ya mtoto wa uswahilini mitaa ya… Read More
PTR Blackjack 1 ni mchezo mpya wa karata kutoka kampuni ya Playtech. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unachezwa na pakiti nane za kadi na unafuata sheria za Ul… Read More
Diwani wa viti maalum,Ester Makune akizungumza na wachezaji wa timu mbili kwenye uzinduzi wa mashindano ya UVCCM FOOTBALL CUP 2023 kabla ya kuanza mtanange wa kwanza katika uwan… Read More
Moja ya klabu za kihistoria kabisa katika soka la Hispania ni RC Celta, timu iliyoko katika mji wa Vigo huko Galicia. Katika msimu wa 2023/24, klabu ya Galician itasherehekea miaka 100 t… Read More
Siah Malle akitoa tathmini ya miradi ya kiuhandisi iliyobuniwa na wahandisi vijana wa kike katika na Maonesho na Kongamano la 8 la Wanawake Wahandisi Tanzania (TAWECE) yaliyofanyika Zanzib… Read More
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuja na kaulimbiu mpya msimu huu mpya wa soka barani ulaya wa “Meridianbet Mzigo wa Kutosha” ambao unamaanisha kuwa… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama (katikati) akiwa Abeli Mussa (kushoto) na Rebecca Damian (kulia) baada ya kuwapokea wanafunzi hao walioshiriki k… Read More
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uzalishaji wa Ndani na Ununuzi wa mbolea kwa Pamoja wa TFRA, Josephy Charos akifafanua jambo wakati wa kikao baina ya wajumbe wa Bodi, Menejimenti na Wakulim… Read More
Mashindano ya riadha, maarufu kama Mbio za kimondo yanayoandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), ikiwa ni maadhimisho y… Read More
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya J… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugonjwa wa shinikizo la juu la damu nchini bado ni kubwa ambapo kwa wagonjwa waliotibiwa katika Taasisi ya moyo Jaka… Read More
NA EMMANUEL MBATILO
KLABU ya Yanga imeshindwa kuwa mabingwa licha kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Alger kwenye mchezo wa Fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili mara baada ya m… Read More
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Msemaji wà Serikali kwebye ukumbi wa habari Maelezo jijini Dodoma.
Msemaji wà Serikali Gerson Msigwa akizungumza na waandishi wa h… Read More
Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko (kushoto kwake) wakimkabidhi hundi ya Sh milioni 100 Mwenyekiti wa Mfuko wa Udhamini wa kudhi… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti- GGML anayesimamia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa harambee ya uchangiaji wa fedha za… Read More
Wilayani Kyela Mbeya ndipo nilipokulia huko ila kuzaliwa nilizaliwa Tabora mjini pale Cheyo ‘A’ sijui ni lini familia yetu ilihamia huko Kyela kwa kuwa tumeanza kuishi huko… Read More