Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa, ametembelea banda namba 13 la ushirikiano baina ya NSSF na PSSSF kuji… Read More
Waziri wa Maji Tanzania na Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Mawaziri Bonde la Mto Songwe Mhe. Jumaa Aweso ameongoza Mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe.
Waziri Aweso ambaye… Read More
Na Said Mwishehe, Kondoa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan… Read More
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima akizungumza leo Agosti 5,2023 wakati akitoa taarifa uwepo wa Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Mbarali Mkoani Mbey… Read More
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt Japhet Simeo akizungumza wakati alipozindua zoezi la wanachama,wapenzi na mashabiki wa timu ya Simba kuchangia damu katika Zahanati ya Kisosora Jijini Tang… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM- Taifa Donard Megitii amewataka Wafugaji wa kuku nchini kuongeza uzalishaji wenye tij… Read More
Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kikiendelea
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko… Read More
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mstaafu) Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchag… Read More
Na Mathias Canal, Geita
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geit… Read More
Ndugu Soud Ayubu Chamshama
wa Chang'ombe Dar es salaam
Anasikitika kutangaza kifo cha Baba
Yake mzazi, Mzee Ayubu Salehe Chamshama,
Kilichotokea tarehe 11 A… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Ludewa wakati wa ziara yake katika mkoa wa Njombe tarehe 11 Agosti 2023. Ku… Read More
Na Munir Shemweta, Ludewa
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) Dkt Angeline Mabula amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutangaza mafanikio ya serika… Read More
Na Mwandishi wetu _ Malunde 1 blog
WANANCHI wa kijiji cha Kiloleli halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga wamefanikiwa kuanzisha ujenzi wa matundu 24 ya vyoo na chumba kimoja cha kujistir… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi… Read More
*Na Mwandishi Wetu, Angola*
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, (SADC Panel of Elders) akiwa pam… Read More
Diwani wa viti maalum,Ester Makune akizungumza na wachezaji wa timu mbili kwenye uzinduzi wa mashindano ya UVCCM FOOTBALL CUP 2023 kabla ya kuanza mtanange wa kwanza katika uwan… Read More
Na Samwel Mwanga, Simiyu
MKUU Wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda amesema kuwa bingwa wa Michuano ya soka ya Simiyu Super Cup 2023 anatarajia kubeba kitita cha Sh milioni Nne.
Akizindua ma… Read More
******************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imewakutanisha Waandishi wa habari na viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kwaajili ya kujadi… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
MKUU wa chuo cha mafunzo ya udereva cha Wide Institute of Driving jijini Dodoma, Faustine Matina ameishauri serikali kuweka mikakati ya kukomesha ajali nchini i… Read More
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula akiongea na watumishi wa taasisi hiyo mara baada ya kuwasili
Makamu Mkuu wa Taa… Read More
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Stephen Kiruswa amesema kutokana na kuwapo kwa changamoto za wawekezaji katika zao la chumvi nchini, Serikali imeagiza Shirika la Madini STAMICO kujenga kiwanda… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amesema Tamasha la Kizimkazi linalotarajia kufanyika Zanzibar ni tamasha muhimu linalokufungamanisha utalii na… Read More
Na Mwandishi wetu – Tabora
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza kasi ya ujenzi wa kiwanda kitakachokuwa kikiweka mifumo ya upashaji joto na plastiki it… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Matembezi na mbio fupi za Uzazi Ni Maisha Wogging 2023 yalioanzia viwanja vya Butros Kiembe Samaki n… Read More
Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Maji , Mheshimiwa Jumaa Hamidu Awesso amefungua mafunzo elekezi kwa bodi ya wakurugenzi RUWASA amb… Read More
Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Agosti 30,2023 wametembelea Bandari zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa ajili ya kujionea na kujifunza… Read More
NA MWANDISHI WETU
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeshiriki Bonanza la Michezo kwa wafanyakazi wa shirika hilo lengo likiwa ni kuwakutanisha pamoja watumishi katika michezo ili kubor… Read More
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ,Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Chalinze.
NA ELISANTE KIN… Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi baina ya Bodi na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Mwanza (hawap… Read More
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaama
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zai… Read More
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (wa pili kushoto) Septemba 15 , 2023 akiangalia futi kamba nundu anayoitumia Mwanafunz… Read More
Na WMJJWM- New York, Marekani
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amemwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Septemba 20,2023 jijini Dodom… Read More
Maafisa wa Shirika la Viwango Tanzania wakitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara wa kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga kuhusu umuhimu wa kusoma taarifa kwenye vifungashio ikiwem… Read More
*Mkurugenzi Mkuu abainisha mafanikio lukuki, asema yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TEF yakoshwa na utendaji wa NSSF yapongeza kazi kubwa i… Read More
Na Sumai Salumu & Kadama Malunde - Shinyanga
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi amewataka waandishi wa Habari kuandika habari sahihi na kutoa elimu… Read More
Mwenyekiti wa kwaya ya Mwenyeheri Maria Theresa Leochowska, Dk.Paul Loisulie,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya zoezi la utoaji damu katika kuelekea kwenye uzinduzi tamash… Read More
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, akizungumza na waandishi wa habari katika Mgodi wa North Mara juzi kuhusu athari chanya za ubia wa kimageuzi katika uchimbaji madini… Read More
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika k… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
BENKI ya CRDB Tawi la Shinyanga imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, huku akiahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Maadhimisho yao yamefanyika leo O… Read More
Na Mwandishi Wetu, Katavi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Katavi kuachana na imani za kishirikina maarufu kwa jina la Kamchape kwani… Read More
Tafiti na machapisho yenye kukidhi ubora wa ushindani yanaweza kukisaidia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika kupata ufadhili na miradi itakayosaidia kuongeza mapato ya ndani ya chu… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendesha Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Serikali inakusudia kujenga Meli mpya ya Mizigo, Barabara ya Lami na Reli ili kuwezesha Bandari ya Karema iliyopo Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, iliyokamilika Ujenzi wake kwa Asilimia… Read More
Bofya > Kujaza Fomu ya kujiunga na Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (The Rural Journalists Association of Tanzania). RUJAT imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili wa vyama vya… Read More
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) Joseph Butiku alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Babati Mkoani Manyara.
Na. Jawadu Kinyobwa, Babati + Manyara
Taasisi ya Mwalim… Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
Na Barnabas Kisengi, Dodoma
Mapema leo Oktoba 11 2023 viongozi wa kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi kata ya kilimani pamoja na wajumbe wa secretariat ya kata ya… Read More
Na Mwandishi Maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini Mkurugenzi wa Huduma za TE… Read More
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameonekana kutoridhishwa na hatua ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ambap… Read More
Serikali imelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuhakikisha linapanga mikakati madhubuti itakaloliwezewesha kukua na kujiendesha kwa tija baada ya uwekezaji mkubwa unaofanywa kupitia u… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC),akizungumza na Vijana wote nchini kupitia mkutano maalum uliofanyika katika tarehe 2… Read More
Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More