Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza wakati akifungua Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jiji… Read More
Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Na Barnabas Kisengi, Dodoma
Mapema leo Oktoba 11 2023 viongozi wa kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi kata ya kilimani pamoja na wajumbe wa secretariat ya kata ya… Read More
Mwanamke mmoja raia wa Congo ambaye ameolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra barani Afrika.
Francine Jisele anaishi na waume wawili, mum… Read More
E'major ni mwimbaji kutoka Nigeria wa Afro-fusion na Afro-rnb, mtunzi wa nyimbo, na mwanamuziki anayeishi Amerika. Muziki wake unachukuliwa kuwa wa kipekee, wenye mvuto kutoka kwa aina mba… Read More
Wakazi wa Kijiji cha Kisorya wakiwemo wanawake wajawazito katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wameondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata huduma za afya hususani upasuaji baada… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wakati Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI - The U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) ukitimi… Read More
Afisa Mawasiliano wa TGNP, Monica John akifungua Semina ya Waandishi wa habari kuelekea tamasha la 15 la kijinsia nchini ambalo litaanza Novemba 7-10, 2023 katika Viwanja vya Mtandao wa Jin… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Matembezi na mbio fupi za Uzazi Ni Maisha Wogging 2023 yalioanzia viwanja vya Butros Kiembe Samaki n… Read More
Mama Kinara Bhoke Mokhe akitoa elimu kuhusu Masuala ya VVU
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Imeelezwa kuwa Afua ya Mama Kinara iliyoanzishwa katika Hospitali ya mji wa Tarime Mkoani M… Read More
Muuguzi katika hospitali ya Nyerere DDH, Nyanchamba Mulaga Musiba akichukua sampuli ya damu kavu kutoka kwa mtoto ambaye mama yake anaishi na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Na Kadama Ma… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
*****************
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limeamua kutumia Ndege Mpya ya Kisasa ya Mizigo Boeing 767-300 inayomilikiwa na Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania… Read More
Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju akizungumza jambo wakati wa Ziara ya bodi ya Mfuko wa Abbott katika makao ya Taifa ya… Read More
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameanza ziara yake katika Kijiji cha Nkuhi kwa lengo la kurudisha mrejesho baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 11,wa Bunge la… Read More
Diamond Platnumz features Chike on his song titled “My Baby” for additional lyrics and give it a Remix
LYRICS of MY BABY Remix (written by Diamond Platnumz & Chike)
Oooooh!… Read More
Tunaishi kwenye famila ya pamoja na baadhi ya ngugu zake mama wa kiume ambao wao hawakuwa wameoa tayari, ni wajomba wawili na shangazi mmoja dada yake baba naye pia bado hakuwa ameolewa. Mi… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza na Machinga mkoa wa Shinyanga kupitia Shirikisho la Umoja wa Machinga Mkoa wa Shinyanga na Taifa.
Na Kadama Malunde… Read More
Na Mwandishi Wetu-Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imekubaliana na Kamisheni ya Uingereza kushirikiana ili kuimarisha usawa wa kijins… Read More
Na WMJJWM, Dodoma
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ameiongoza Menejimenti ya wizara hiyo kumuaga aliyekuwa muwakilishi Mkazi wa shir… Read More