Na. Mwandishi Wetu, Iringa
Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuonesha ubabe wake kwenye mbio
ambapo kwa upande wa wanaume imeibuka kinara kwenye mbio za mita 1500 na&n… Read More
MRATIBU wa Tiba Utalii Dkt.Asha Mahita amesema kuwa kuna umuhimu Tanzania tukajiandaa kwa tiba Utalii na ili iweze kufanikiwa tunahitaji ubora wa huduma kwenye maeneo mbalimbali husika kwa… Read More
Na Mwandishi Wetu, IRINGA.
Timu ya wanaume ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kamba kwenye mashindano ya Shirikishio la Michezo la Wizara na Ida… Read More
Na: Zainab Ally – Mikumi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamisha Benedict Wakulyamba amesema Miradi ya Ujenzi wa Viwanja vya ndege vinavyoendelea kujengwa katika Hif… Read More
Na. Jacob Kasiri- Kitulo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe. Benedict Wakulyamba amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa uhifadhi uliotukuka na u… Read More
Na Mwandishi Wetu, KILIMANJARO
MBUNGE wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi… Read More
Na Mwandishi wetu Pwani
Naibu Waziri wa uchukuzi Mhe David Kihenzile amepongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini(TPA) za uboreshwaji wa miundom… Read More
Na WMJJWM- New York, Marekani
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amemwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka ameishauri Jamii kuona umuhimu wa kuhifadhi maarifa asili kwa kuweka kumbukumbu za mila na… Read More
Rufiji. Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwek… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi… Read More
Kaimu Meneja Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon,akimkabidhi kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule… Read More
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) amewasili mjini Istanbul, Uturuki na ujumbe wake kwa ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa Uturu… Read More
Waziri Dotto Bitteko wa Wizara ya Madini akizungumza jambo kwenye mkutano wa Wizara hiyo (Breakfast Mining Briefing) na Chama Cha wachimbaji wa Madini na Wadau mbalimbali wa sekta hiyo na ku… Read More
RC MNDEME ASHIRIKI TAMASHA LA SANJO YA BUSIYA WILAYANI KISHAPU
Na. Shinyanga RS.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Solomon Mndeme leo tarehe 7 Julai, 2023 ameshiriki katika Tamas… Read More
Mashindano ya riadha, maarufu kama Mbio za kimondo yanayoandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), ikiwa ni maadhimisho y… Read More
Na Jacob Kasiri - Mbarali
Kamishna Msaidizi wa Ardhi - Mkoa wa Mbeya, Syabumi Mwaipopo amesema serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta… Read More
Seattle, Marekani
Kampuni kubwa ya biashara ya utalii duniani kupitia mtandao, Expedia Group, imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Utalii (TTB), kutangaza na kul… Read More
Waziri wa Maliasili, Mhe. Mohammed Mchengerwa, jana Mei 6, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, Donald Trump Junior, al… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya vikao na wananchi wa vijiji vyenye migogoro ya mipaka na Hifadhi ya Serengeti na kuutaka uong… Read More
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa… Read More
Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee (wa pili kushoto) akiwaonesha Mawaziri Dkt Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi (wa tatu kushoto), Waziri Ofisi ya… Read More
👉 Ujerumani yatoa bilioni 16
Na John Mapepele
SERIKALI ya Ujerumani kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa (GIZ) imetoa msaada wa Euro milioni 6 (16 bilioni) kusaidia juh… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu Dkt. Hassan Abbasi wameungana na wadau wa sekta ya utalii jijini Arusha leo usiku huu April 14, 2023… Read More