Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt.Albina Chuwa akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Agosti 31, 2023 Jijini… Read More
Na MWANDISHI WETU MALUNDE 1 BLOG
Mkazi wa Mtaa wa Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Mseveni Mchele Derefa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, viboko 10 na faini ya Shi… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama (katikati) akiwa Abeli Mussa (kushoto) na Rebecca Damian (kulia) baada ya kuwapokea wanafunzi hao walioshiriki k… Read More
Na John Mapepele
Serikali imetambua na kumpongeza Balozi Nguli wa utalii wa Tanzania nchini Marekani mwenye umri wa miaka 63 bwana Macon Dunnagan kwa kuandika historia ya kukamilisha kupa… Read More
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa kushoto akizundua msimu wa sita wa Tanga Women Gala Jijini Tanga linaloandaliwa na Kampuni ya Five Brother Intertainment kulia ni Mkurugenzi w… Read More
Mchungaji mmoja kutoka katika Kaunti ya Embu nchini Kenya amefikishwa mahakamani Jumatatu Juni 5,2023 kwa tuhuma za kumbaka muumini wa kanisa lake.
Pasta Benson Mwaniki Njuki wa Kanisa la… Read More
Mwanaume mmoja kutoka kijiji cha Giankaja, kaunti ya Tharaka Nithi alitiwa mbaroni baada ya kudaiwa kumuua baba yake na kupika sehemu za mwili wake.
Mwanamume huyo kwa sasa anazuiliwa kati… Read More
*Vijana washindwa kujiajiri katika sekta ya kilimo
*Wananchi wabaki njia panda, Serikali yaeleza
Na Ashura Kazinja, Morogoro
UPATIKANAJI wa ajira nchini umeendelea kuwa mgumu mwaka hadi mwak… Read More
Mikono ya mtoto aliyochomwa moto na mama yake mzazi
Na Suzy Luhende, Shinyanga
Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Grace Godwin(23) Mkazi wa Mtaa wa Sido Kata ya Ibi… Read More
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Aprili 7,2023.
Na Salvatory Ntandu - Kahama
Mkazi wa mtaa wa Nyasubi wilay… Read More
Mkurugenzi wa Taasisi ya Professor Mwera Foundation ya mkoani Mara,Hezbon Mwera ,akimkabidhi Tuzo ya Heshima Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe.Rosemary Senyamule iliyotolewa na Taasisi ya Profes… Read More
Na Joseph Shaluwa, Mtanzania Digital
MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo na… Read More
Na Woinde Shizza,ARUSHAImebainika kuwa ugonjwa wa saratani hapa nchini umeonekana kuwa tatizo linaloongezeka kila mwaka hususani saratani ya mlango wa kizazi wa wanawake kwani kati ya… Read More
Mtu moja aliyetambulika kwa jina la Musa Robert anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 76 mkazi wa Kijiji cha Kasheka kata ya Bangwe Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza ame… Read More
Na Derick Milton, Itilima
“Nilianza harakati za Siasa mwaka 2007 baada ya vijana wa Mkoa wa Simiyu kuniamini kwa kunipigia kura 664, kati ya kura 668, vijana wanne tu ndiyo walisema si… Read More
Jacob Okafyulilo, mwenye umri wa miaka 38, Mbena na Mkazi wa Kijiji cha Itambo wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kuamriwa kulipa fidia ya shilingi… Read More
Mwanaume mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi waliomvamia usiku katika daka lake katika katika soko la Khayega eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega nchini Kenya.Majambazi watat… Read More
aafisa wa Upelelezi wanamsaka mwanamume wa umri wa miaka 31 ambaye anadaiwa kumuua kakake mkubwa katika kisa cha madai ya ugomvi wa kimapenzi unaohusisha dada yao mdogo katika eneo la Kiriny… Read More
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 48, anapokea matibabu baada ya kushambuliwa na kulawitiwa na genge lisilojulikana katika Kituo cha Nderu eneo la Ndeiya, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya.Uch… Read More
Daktari raia wa Tanzania, Dkt. Mohamed Ali Hafidh anayefanya kazi nchini Uganda aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia, mhudumu wa kwanza wa afya aliyefariki kwa ugonjwa huo katika mlipuko wa… Read More
Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto.Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 k… Read More