Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
STEPHEN JULIUS MASELE: UJUMBE WANGU KWENU WAPIGANAJI LEO KATIKA SIKU YANGU YA KUZALIWA LEO TAREHE 01 OKTOBA 2023.
Habari za leo ndugu zangu wapendwa?
Ndugu zangu kwa mape… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
Na Seif Takaza, Iramba
Zaidi ya Sh bilioni 4 zimetumika kwa ajili ya miradi mbalimbali ya kijamii wilayani Iramba mkoani Singida katika ujio wa Mwenge wa Uhuru mwaka huu unaotarajiwa kukimbi… Read More
Na WMJJWM- New York, Marekani
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amemwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
#Bei yake kwa Sasa Yatajwa ni Mara 10 Zaidi ya Tanzanite
Na Wizara ya Madini - Bangkok
Imeelezwa kuwa Madini ya Vito aina ya Spinel yanayochimbwa Mahenge Tanzania ni miongo… Read More
Jina langu ni Shadrack, nilikuwa mtu ambaye niliamini michezo ya kamari, mara kwa mara nilicheza michezo hii kwani niliamini kuwa siku moja ningweza kupata fedha nyingi kutokana na mich… Read More
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) amewasili mjini Istanbul, Uturuki na ujumbe wake kwa ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa Uturu… Read More
Hatimaye ile promosheni kubwa Zaidi ya Vuna zaidi na Meridianbet iliyozinduliwa Agosti 2 mwaka 2023 imeanza kutoa washindi, wiki hii simu zimetoka sana pale Meridianbet.
… Read More
Mstari mfupi zaidi kwenye biblia ni upi? na umebeba ujumbe gani? Mistari inatofautiana urefu kulingana na lugha na lugha.. Mstari unaoonekana mfupi katika lugha ya moja unapotafsiriwa katika… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Naitwa Blessing, mzawa wa Kondoa, nina umri wa miaka 26, nimehitimu masomo ya Secondary mwaka 2015 ila sikuweza kupata nafasi ya kujiunga na masomo ya high school kutokana na hali ngumu ya… Read More
Je mgongo kuuma kunasababishwa na nini? Kama maumivu ya mgongo si kutokana na umri, au ugonjwa uliopo ndani ya mwili wako sasa, au si kutokana na ajali uliyoipata au hali uliyopo sasa kama U… Read More
James alikuwa kijana ambaye anaishi mtaani kwetu Buza, tuliweza kujuana na kuonana mara kwa mara, siku moja natoka Stand ya Buza ili niende nyumbani, nikakutana na James na kuniomba namba… Read More
Imagine upo ndani ya ndege na wewe ndio rubani wa hiyo ndege kuna raha eeh! Tulia hivyo hivyo nikusanue mchongo mkubwa wa kupiga mpuga wa kutosha unapocheza kasino ya mtandaoni ya … Read More
Mafundisho ya wazazi juu ya upendo wa wengine yaliingia vizuri nikafanya upendo kuwa kitu kikubwa sana juu ya vyote nilivyo navyo. Alfajiri ya Jumamosi nikiwa safarini kuelekea kwa wazazi… Read More
Tuliishi na mke wangu katika jiji la Nairobi ambapo nilikuwa nafanya biashara, ndoa yetu haikukumbwa na misukosuko kwani tuliaminiana sana na mapenzi yetu alikuwa moto kweli kweli, hakuna a… Read More
Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuj… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akikagua orodha ya wananchi waliohudumiwa katika eneo la Ndachi jijini Dodoma alipokwenda kukagua utekelezaji wa maelekezo y… Read More
*Matapeli kutuma ujumbe mfupi waibukia Viwanja vya ndege
Na Chalila Kibuda,
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikis… Read More
Na Mwandishi Wetu
MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii, umeacha nje jambo moja &ndas… Read More
Na Mwandishi Wetu, DODOMAUJUMBE wa Bunge la Namibia umeimwagia sifa Serikali ya Tanzania namna ilivyojipanga kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana kupitia programu zinazotekelezwa chini… Read More
******************Na Mwandishi WetuKATIKA kuelekea siku ya wanawake duniani mkoani Mbeya,Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Mfuko wa Tulia leo wameandaa tamasha kubwa ambapo Oryx Gas wa… Read More
Msimamizi wa uchaguzi wa CCM, Dk Ali Mohamed Shein ambaye ni Rais mstaafu wa Zanzibar amemtangaza, Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa mara nyingine baada ya k… Read More