Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo tarehe 19/10/2023 amewasili Mkoani Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Waziri Kindamba kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moj… Read More
Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong akiwa pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo Vallence Ibrahim wakiongoza matembezi hayo ambayo yalishirikisha baadhi ya wafanyakazi na wak… Read More
Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Mkurugenzi wa PigInvest International Plc Bi. Grace Mgonjo ambaye pia ni Mke wa Msanii na Mwanasiasa Maarufu ndani nje ya nchi ya Tanzania Joseph Leonard Haule ‘Professor JAY’… Read More
Na Mwandishi Wetu, IRINGA.
Timu ya wanaume ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kamba kwenye mashindano ya Shirikishio la Michezo la Wizara na Ida… Read More
Ninayo hapa ngoma kali sana ya asili kutoka kwa msanii Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka mkoani Simiyu inaitwa Ukimwi...Video imetengenezwa Makula Studio..itazame hapa kaimba kwa lugha mbi… Read More
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo
*Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023
Na MWANDISHI WETU, GEIT… Read More
Maisha ya binadamu yamejaa mambo mengi sana, kuna mengi ya kidunia unaweza kupitia ukajiona hauna thamani tena kwa jamii, lakini uwepo wa Meridianbet umekuwa ni sehemu ya kurejesha matuma… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara kwenye mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 15-20 Septemba, 2023.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolew… Read More
Maendeleo ya Teknolojia yamekuja na manufaa makubwa lakini papo hapo katika uandishi wa kazi za kitaaluma yameleta changamoto nyingi ikiwemo utengenezaji wa machapisho kupitia akili bandi… Read More
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi baina ya Bodi na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Mwanza (hawap… Read More
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo),Dkt Daniel Mushi akiongea na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd kilichopo wilaya… Read More
Na Mwandishi wetu – Tabora
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza kasi ya ujenzi wa kiwanda kitakachokuwa kikiweka mifumo ya upashaji joto na plastiki it… Read More