Picha ya pamoja kati ya waandishi wa habari na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA).
Balozi wa Ja… Read More
Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mikondo Miwili ya Uzalishaji Maji wa Kiwanda cha Suma JKT Bottling Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi… Read More
Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.
J… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
Serikali ipo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa bandari ya Lagosa iliyopo katika Kijiji cha Mgambo wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya… Read More
Mkurugenzi wa PigInvest International Plc Bi. Grace Mgonjo ambaye pia ni Mke wa Msanii na Mwanasiasa Maarufu ndani nje ya nchi ya Tanzania Joseph Leonard Haule ‘Professor JAY’… Read More
Na Mwandishi Wetu, IRINGA.
Timu ya wanaume ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye mchezo wa kamba kwenye mashindano ya Shirikishio la Michezo la Wizara na Ida… Read More
Na Mwandishi wetu _ Malunde 1 blog
Timu ya JKT Tanzania wametoka thuruhu ya goli 1 - 1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye nmchezo wa ligi kuu NBC Tanzania Bara.
Mchezo huo uliochezwa… Read More
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo
*Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023
Na MWANDISHI WETU, GEIT… Read More
Walianza watanzania wachache sana kutamba kwenye soka la ushindani tena nje ya ardhi ya Tanzania. Kuna Sunday Manara na Je ni nani asiyefahamu mapambano ya mtoto wa uswahilini mitaa ya… Read More
Licha ya matangazo mengi katika vyombo vya habari kuwa Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaotibika kwa urahisi na watu wasione aibu kwenda Hospitalini, kwani hali hiyo kwangu ilikuwa ni tofau… Read More
Meridianbet Kasino ya mtandaoni inakupa nafasi ya kupata pesa za kutosha wakati ambapo ukijivinjari mtandaoni ukicheza Crayz Jelly, mchezo wenye nguzo 5 zeye mistari 10 ya njia za… Read More