NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Kuelekea Maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mtandao wa Jinsia nchini TGNP Wadau wa Jinsia na Maendeleo GDSS wameendelea kujivunia jukwaa lao a… Read More
Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
Na Mwandishi Wetu, KILIMANJARO
MBUNGE wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi… Read More
Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulikia mahusiano ya jamii, Gilbert Mworia akimpatia zawadi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman alipotembelea banda la kampuni hiyo kati… Read More
Mratibu wa Kambi hiyo ambaye pia ni Mhazini wa Chama cha Madaktari Tanzania Dkt Mathew Shao kulia akiteta wakati wa kambi ya Huduma za Madaktari Bingwa wa uchunguzi wa magonjwa mbalim… Read More
Na Mwandishi wetu Malunde Blog Shinyanga
Dkt.Agatha Mgogo ambaye ni Mkurugenzi chuo kikuu huria cha Tanzania mkoa wa Shinyanga ameongoza Mahafali ya Tatu ya darasa la saba 2023 katika Sh… Read More
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Tanga (RTO) Wiliam Mwamasika akizungumza wakati kuelezea mpango kazi wa Usalama barabara kwa Jiji la Tanga unaendeshwa na Shirika la Amend… Read More
Afisa Mawasiliano wa TGNP, Monica John akifungua Semina ya Waandishi wa habari kuelekea tamasha la 15 la kijinsia nchini ambalo litaanza Novemba 7-10, 2023 katika Viwanja vya Mtandao wa Jin… Read More
Vijana 820 wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo, ambao wamehitimu mafunzo yao katika vituo atamizi mbalimbali hapa nchini (Vyuo vya Kilimo), wamei… Read More
Kaimu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga Mwamba Masanja.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga, imembana Mkandarasi kutoka K… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Juhudi za kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yanayotokana na wanaume kufanyiwa tohara za kimila katika Wilaya ya Serengeti Mkoani Mar… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Ludewa wakati wa ziara yake katika mkoa wa Njombe tarehe 11 Agosti 2023. Ku… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Diwani wa kata ya Bwilingu halmashauri ya Chalinze Mh. Nassar Karama(suti nyeusi) akizungumza na walimu
NA. ELISANTE KINDULU, CHALINZE
DIWANI wa kata ya Bwilingu ,katika halmashauri… Read More
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Leonard Nyandahu akionesha vifaa vya kupigia ramli chonganishi vilivyokamatwa
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shi… Read More
Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju akizungumza jambo wakati wa Ziara ya bodi ya Mfuko wa Abbott katika makao ya Taifa ya… Read More
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga Alhaj Hasani Ramadhani Mbezi akifungua Kikao cha Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tanga kilichoketi kupokea Taarif… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi amelitaka Jeshi la Jadi Sungusungu kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi badala… Read More
Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame (mwenye tai nyekundu) akisikiliza ufafanuzi wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na mabaharia wa… Read More
Viongozi wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria inayojulikana “Mama Samia Legal Aid Campaign”
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata gunia 482 za bangi iliyokuwa tayari kusafirishwa kwenye masoko na imeteketeza jumla ya hekari 10… Read More
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Kamishna Msaidizi wa Magereza ACP Nkonge Edwin alipofika gerezani hapo na timu ya wataalam… Read More