Mratibu wa Kambi hiyo ambaye pia ni Mhazini wa Chama cha Madaktari Tanzania Dkt Mathew Shao kulia akiteta wakati wa kambi ya Huduma za Madaktari Bingwa wa uchunguzi wa magonjwa mbalim… Read More
Asilimia kubwa ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), wana uwezo mkubwa wa kuchanganua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokabili jamii yetu.
Hayo yamesemwa na Wazi… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Septemba 20,2023 jijini Dodom… Read More
Na Emmanuel Mbatilo
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Waajiri (Waajiri Health Bonanza) kwa mwaka 2023 lenye le… Read More
By Christopher Makwaia
In the heart of Tanzania's remarkable history, a name shines brightly, a name that echoes not just power and leadership, but also warmth, wisdom, and hope. As we e… Read More
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Stephen Kiruswa amesema kutokana na kuwapo kwa changamoto za wawekezaji katika zao la chumvi nchini, Serikali imeagiza Shirika la Madini STAMICO kujenga kiwanda… Read More
Na Samwel Mwanga, Simiyu
MKUU Wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda amesema kuwa bingwa wa Michuano ya soka ya Simiyu Super Cup 2023 anatarajia kubeba kitita cha Sh milioni Nne.
Akizindua ma… Read More
Diwani wa viti maalum,Ester Makune akizungumza na wachezaji wa timu mbili kwenye uzinduzi wa mashindano ya UVCCM FOOTBALL CUP 2023 kabla ya kuanza mtanange wa kwanza katika uwan… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi… Read More
Na Munir Shemweta, Ludewa
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) Dkt Angeline Mabula amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutangaza mafanikio ya serika… Read More
Por Ester VilenkinPergunta:Tenho realizado frequentes viagens a negócios e gostaria de empreendê-las após recitar a bênção apropriada. Qual seria?Resp… Read More
Na Mariam Kagenda - Bukoba
Katika jitihada za kuhakikisha anarudisha shukrani kwa wananchi waliomchagua mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati Wakili Stephe… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Ludewa wakati wa ziara yake katika mkoa wa Njombe tarehe 11 Agosti 2023. Ku… Read More
Na Mathias Canal, Geita
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geit… Read More
Mkutano wa majadiliano wa sekta binafsi na wadau kujadili mchango wa sekta binafsi katika kuzuia maambukizi ya UKIMWI katika Maeneo ya Kazi. Mkutano huo umefanyika leo Augosti 9,2023 Jijini… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kushoto) akishiriki chakula cha pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanga Viziwi Mkoani Kilim… Read More
Mmoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa akishuka kwenye tangi la Maji lililopo Ishinabulandi kata ya Samuye katika Mradi wa Maji Masengwa awamu ya pili kata ya Masengwa Halmashauri ya… Read More
****************
Na Mwandishi Wetu,- Kigoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Daniel Chongolo amesema Chama hicho kinaelekeza Serikali kuisukuma na kuongeza spidi katika kuhaki… Read More
Khamis Mgeja
Na Mwandishi wetu -Kahama
KHAMIS MGEJA ambaye ni mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga amewatahadharisha wanachama wenzake wa CCM kutahadhari… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi hati milki sita za ardhi mkazi wa Ngara mkoani Kagera Godfrey Niyonzima wakati wa ziara yake mkoani humo.
****… Read More
KATIBU wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tanga Urassa Nanyaro kulia akipokea miti kwa ajili ya kuupanda wakati Jumuiya hiyo iliposhiriki kwenye kampeni inayoendes… Read More
Na Said Mwishehe, Kondoa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan… Read More
* Zitto, Lipumba wakwepa mtego, wautosa mkutano huo
* Wananchi wachache wahudhuria, wengi wachoshwa na siasa za uchonganishi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mkutano ulioandaliwa… Read More
Na Said Mwishehe, Kondoa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amewahimiza wana CCM kuwa wamoja na kujenga mshikamano ili kwenda katika Uchaguzi wa Serikali z… Read More
Waziri Dotto Bitteko wa Wizara ya Madini akizungumza jambo kwenye mkutano wa Wizara hiyo (Breakfast Mining Briefing) na Chama Cha wachimbaji wa Madini na Wadau mbalimbali wa sekta hiyo na ku… Read More
Na Mwandishi Wetu-Michuzi TV- Mtwara
CHAMA Cha Mapinduzi( CCM) kimeitaka na kuisisitiza Serikali kuhakikisha inaharakisha mchakato wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam na kwenye… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya, tayari kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara utak… Read More
Mwakilishi wa Kampuni ya Jambo Food Products, Chrispin Kakwaya ambaye ni Mkuu wa Idara ya Michezo Jambo Media (kulia) akikabidhi jezi kwa ajili ya Timu ya Soka ya Wanawake Mwamva FDC Q… Read More
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Tanga Alhaj Hasani Ramadhani Mbezi akifungua Kikao cha Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tanga kilichoketi kupokea Taarif… Read More
WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa Mabasi nchini wameitaka Mamlaka ya kudhibiti usafiri wa majini na nchi kavu (LATRA) kuharakisha utoaji wa ratiba itakayoyawezesha mabasi kutoa huduma za kw… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ametoa msaada wa Majiko ya Gesi 250 kwa Mama Lishe Wilaya ya Kahama ili kuwarah… Read More
Na Marco Maduhu,KISHAPU
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kishapu Benard Benson Welema, amefanya Mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero… Read More
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kilosa, Kisena Magena Mabuba (kushoto) akimsaidia Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata ya Magubike, Juma Hamis Ngwele kubadika fomu za uteuzi za w… Read More
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi w… Read More
Kamishna wa Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Suzan Mkangwa akizungumza na Uongozi wa Kiwanda hicho.
Mkurugenzi wa Rasilimali watu Watu wa Kiwanda Cha A… Read More
Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoa wa Njombe Edwin Swale ameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Lami kutoka Kibena Lupembe hadi Madeke ikiwa ni maagizo ya Rais wa Jam… Read More
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Mussa Misaile akifunga mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi wa vyama vipya vya Ushirika wa Mbogamboga, matunda na mazao mchanganyiko, Mkoani Arusha
Wajumbe wa B… Read More
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Mhe. Ummy Nderiananga, akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Mhe. Sophia Mwakagenda kwa niaba ya Ofisi… Read More
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba (watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea gawio la Shilingi bilioni 24.6 kutokana na uwekezaji wa Serikali Kuu kwa kushi… Read More
Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation, leo imezindua rasmi msimu wa nne wa mbio za CRDB Bank Marathon ikwa na lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kusaid… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya vikao na wananchi wa vijiji vyenye migogoro ya mipaka na Hifadhi ya Serengeti na kuutaka uong… Read More
Tanzania has taken a major step towards achieving “political reconciliation” promised by the country’s President, Samia Solo Hassan, upon her accession to power in 2021, by… Read More
Jumuiya ya wazazi CCM Shinyanga Mjini yabaini madudu ujenzi wa madarasa na vyoo shule ya msingi Msufini Ndala Shinyanga pic.twitter.com/pjyBOUI0IV
— Malunde 1 Blog (@malundekadama) M… Read More
Na Mwandishi Wetu-MOROGORO
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imesema itaendeea kuwezesha uwepo wa majukwaa ya wafanyakazi ili kuhakikisha yanatoa… Read More