Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
KUELEKEA tamasha la 15 la jinsia Novemba 7-10, 2023 na Tapo la Ukombozi wa mwanamke Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unajivunia mafanikio ya baadhi ya sheria… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya opereshen… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
Na Mwandishi Wetu, Katavi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Katavi kuachana na imani za kishirikina maarufu kwa jina la Kamchape kwani… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuhusu… Read More
•Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma
• Sekta inachangia 56 % ya fedha za kigeni
Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 ze… Read More
Ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ya kutembelea Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kwa ajili ya kujitambulisha, kujifunza na kujionea miradi inayoendelea chini… Read More
Na Emmanuel Mbatilo
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Waajiri (Waajiri Health Bonanza) kwa mwaka 2023 lenye le… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Dkt Angeline Mabula katika ofisi za wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma… Read More
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ,Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Chalinze.
NA ELISANTE KIN… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Matembezi na mbio fupi za Uzazi Ni Maisha Wogging 2023 yalioanzia viwanja vya Butros Kiembe Samaki n… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
MKUU wa chuo cha mafunzo ya udereva cha Wide Institute of Driving jijini Dodoma, Faustine Matina ameishauri serikali kuweka mikakati ya kukomesha ajali nchini i… Read More
Na Mwandishi wetu,Dodoma
TUME ya Madini imesema mwelekeo wa sekta ya Madini kwa mwaka 2023-2024 ni kuhakikisha mchango wa Pato la Taifa unafikia asilimia 10 au zaidi ifikapo mwaka 2025.
Hayo… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
KATIKA kukabilia na ongezeko la ajali za barabarani nchini Chuo cha Udereva cha WIDE kwa kushirikiana na Serikali ya wilaya ya Chamwino wameanzisha programu ya m… Read More
Mamlaka ya Senegal ilisimamisha ombi la TikTok Jumatano hadi “taarifa zaidi” kutokana na kueneza jumbe za “chuki na uasi” kufuatia maandamano ya kupinga kufungwa j… Read More
Na Mwandshi Wetu-DODOMA.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA imezitaka Taasisi zote za Umma nchini kuhakikisha zimepatiwa mafunzo elekezi kwa ajili ya utumiaji wa Mfumo mpya wa Un… Read More
Na Mwandishi Wetu - Dodoma
JUMLA ya simu na vifaa vingine vya mawasiliano 108,395 vimezuiliwa kupokea na kutoa mawasiliano katika kipindi cha mwaka mmoja, kutokana na sababu mbalimbali zi… Read More
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Kujadili Ushiriki wa Kampuni za Bima nchini kwenye miradi ya Nishati iliyofanyika tarehe 15 Julai, 2023 j… Read More
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Micha… Read More
Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akizungumza kwenye Mkutano wa Sungusungu katika Kijiji cha Imenya Kata ya Itwangi,ambapo ametumia fursa hiyo kuwataka kuacha kuj… Read More