Jibu: Tusome kuanzia mstari wa 43.. Luka 23:44 “Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda, 45 jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu lika… Read More
Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Mwanamke mmoja raia wa Congo ambaye ameolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra barani Afrika.
Francine Jisele anaishi na waume wawili, mum… Read More
Afisa Mawasiliano wa TGNP, Monica John akifungua Semina ya Waandishi wa habari kuelekea tamasha la 15 la kijinsia nchini ambalo litaanza Novemba 7-10, 2023 katika Viwanja vya Mtandao wa Jin… Read More
Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana Yesu. Karibu katika kujifunza maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Leo tutaona jinsi “moyo wa toba ya kweli” unavyopokelewa kitofauti sana… Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Eng. Anthony Sanga katika Picha ya pamoja na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Maimbo Mdolwa mara baada ya mazungumzo ya… Read More
Na MWANDISHI WETU MALUNDE 1 BLOG
Mkazi wa Mtaa wa Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Mseveni Mchele Derefa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, viboko 10 na faini ya Shi… Read More
Ndugu Soud Ayubu Chamshama
wa Chang'ombe Dar es salaam
Anasikitika kutangaza kifo cha Baba
Yake mzazi, Mzee Ayubu Salehe Chamshama,
Kilichotokea tarehe 11 A… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Na Said Mwishehe, Kondoa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan… Read More
* Kenya bei ya mafuta yazidi kupaa, wenye magari wavuka mpaka hadi Tanzania kuweka mafuta
* Maagizo ya Rais Samia ya usimamizi wa uingizaji mafuta nchini na ruzuku yaleta ahueni kwa Watanza… Read More
Rafiki yangu wa karibu ambaye tumekuwa tukicheza naye kuanzia utotoni mwangu ndiye aliyenifichulia siri kubwa juu yangu na kunifanya nipate mume aliye kubali kunioa pamoja na kuwa na wa… Read More
Tunaishi kwenye famila ya pamoja na baadhi ya ngugu zake mama wa kiume ambao wao hawakuwa wameoa tayari, ni wajomba wawili na shangazi mmoja dada yake baba naye pia bado hakuwa ameolewa. Mi… Read More
Familia yetu yenye jumla ya watu sita pamoja na dada wa kazi tumeishi kwa furaha katika kipindi chote tukitegema kulishwa na mume wangu katika kazi zake za utafutaji huko Shirika la Reli… Read More
Jibu: Turejee, Mwanzo 9:20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, BABA WA KANAANI, akauona uchi wa baba yake, a… Read More
Aneth mwanamke mwenye rangi ya kuvutia , mpole mwenye urefu wa wastani na mwenye mazungumzo machache mbele ya kundi la wanaume, kiufupi mwanamke mwenye stara zake anayejuwa nafasi yake kweny… Read More
Polisi katika kaunti ya Bungoma nchini Kenya wanachunguza kisa ambapo mwanamke anadaiwa kumng'ata baba mkwe wake sehemu za siri wakati wa ugomvi.Katika kisa hicho cha kustaajabisha amb… Read More
Na Woinde Shizza,ARUSHAImebainika kuwa ugonjwa wa saratani hapa nchini umeonekana kuwa tatizo linaloongezeka kila mwaka hususani saratani ya mlango wa kizazi wa wanawake kwani kati ya… Read More