Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya opereshen… Read More
Na mwandishi Maswayetu blog;
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO kuhakikisha
kwamba nafasi za kazi zote Tanzania zinatolewa kwa usawa na uwazi kwa vijana
wote wanaopambana kutafuta k… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza na wananchi wa eneo la Pombe Shop Chamwino Morogoro usiku alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi tarehe 22 Sept 2023… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Lori likiwa kazini katika mgodi wa North Mara
***
Zoezi la kulipa fidia kwa wananchi katika eneo la Nyeheto wilayani Tarime, Mara linaendelea vizuri na wengi wanaripotiwa kujitokeza kupok… Read More
Vituo vya taarifa na maarifa Wilayani Kishapu Mkoani Shinyangan vikiwa kwenye picha ya pamoja na kibao cha SIDO,Agosti 13,2023 wakiwa kwenye ziara na TGNP.
Na Halima Khoya,Kishapu
Mtanda… Read More
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt Japhet Simeo akizungumza wakati alipozindua zoezi la wanachama,wapenzi na mashabiki wa timu ya Simba kuchangia damu katika Zahanati ya Kisosora Jijini Tang… Read More
Na Oscar Assenga, TANGA.WANAFUNZI, walimu pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu zaidi ya 130 kutoka Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Tawi la Tanga wametumia maadhi… Read More
KATIBU wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tanga Urassa Nanyaro kulia akipokea miti kwa ajili ya kuupanda wakati Jumuiya hiyo iliposhiriki kwenye kampeni inayoendes… Read More
Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju akizungumza jambo wakati wa Ziara ya bodi ya Mfuko wa Abbott katika makao ya Taifa ya… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi amelitaka Jeshi la Jadi Sungusungu kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi badala… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Solomon Mndeme ameipongeza Jambo FM inayorusha matangazo yake kutoka katika Manispaa ya Shinyanga kwa kazi kubwa na nzuri ya kuhabarisha, kuelimi… Read More
Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Hamdouny Mansoor (Kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Mipaka ya Kimataifa Kenya Juster Nkoroi (Kulia) wakisaini hati ya Makubaliano ya Mpango kazi w… Read More
Ni mama yangu mzazi hatujuwi shida hii ilimuanza vipi na kwanini amekuwa hivyo ghafla kwa kuwa hatukuwahi kupewa malalamiko kokote alikoenda na wala hatukuwahi kushuhudia sisi weny… Read More
Mkaguzi wa usalama wa mifumo ya umeme wa OSHA, Mhandisi Maria Ndaskoy akifanya ukaguzi wa mifumo ya umeme katika jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) Moro… Read More
Mkoa wa Rukwa waingia katika historia mpya mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kuingia mkataba na Kampuni ya M/s Beijing Construction Engineering Group Co… Read More
Maofisa wa Benki ya Exim Tanzania akiwemo Mkuu wa kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia Bw Nelson Kishanda (katikati) wakikabidhi msaada wa chakula na mahitaji muhimu kwa mmoja wa wananchi… Read More
•Uoto wa asili, ikolojia vyaanza kurudi kwa kasi katika maeneo yaliyohamwa na wakazi •Matumaini yazidi kuwa makubwa,
•Wadau watoa Ushauri
Baada ya baadhi ya wakazi wa ma… Read More
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mohammed Mchengerwa wakishuhudia utiaj… Read More
Meneja Mkuu wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika ya Mashariki ( EACOP) Wendy Brown akipeana mkono na kiongozi wa kimila wa kabila la Wataturu Gesuda Masanja wakati wa zoezi la kusaini… Read More
Dar es Salaam- 06 Machi, 2023Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza akimwakilisha Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, leo tarehe 6 Machi, 2023 ameungana n… Read More
Watu wengi wanafahamu faida ya mazoezi ya viungo, na sehemu ambayo watu wengi hupendelea kwenda kufanya amzoezi hayo ni kwenye gym.Kama ilivyo kwa viungo, ubongo nao unahitaji mazoezi. Na ku… Read More
Na Derick Milton, Itilima
“Nilianza harakati za Siasa mwaka 2007 baada ya vijana wa Mkoa wa Simiyu kuniamini kwa kunipigia kura 664, kati ya kura 668, vijana wanne tu ndiyo walisema si… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula akiongea na Makampuni pamoja na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa progr… Read More