Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Na Mwandishi Wetu, KILIMANJARO
MBUNGE wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza na wananchi wa eneo la Pombe Shop Chamwino Morogoro usiku alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi tarehe 22 Sept 2023… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kuweka mazingira bora ya Uwek… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
MKUU wa Idara ya Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga Sharifa Coshuma akizungumza wakati akifungua mafunzo ya watalaka na watalakiwa yaliandaliwa… Read More
Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
MRATIBU wa Tiba Utalii Dkt.Asha Mahita amesema kuwa kuna umuhimu Tanzania tukajiandaa kwa tiba Utalii na ili iweze kufanikiwa tunahitaji ubora wa huduma kwenye maeneo mbalimbali husika kwa… Read More
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Dar es salaam.
Jeshi la Polisi kupitia Bohari kuu imesema imeendelea kusimamia uzalishaji wa sare za maafisa na askari wa Jeshi la Polisi nchini Pamoja na… Read More
*Mkurugenzi Mkuu abainisha mafanikio lukuki, asema yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TEF yakoshwa na utendaji wa NSSF yapongeza kazi kubwa i… Read More
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo
*Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023
Na MWANDISHI WETU, GEIT… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Septemba 20,2023 jijini Dodom… Read More
Ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ya kutembelea Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Kwa ajili ya kujitambulisha, kujifunza na kujionea miradi inayoendelea chini… Read More
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaama
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zai… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akikabidhiwa ua na Katibu Muhtasi wa Wizara hiyo Joyce Mruma mara baada ya kuwasili ofisi za wizara hiyo eneo la Mtumba jiji… Read More