Mwanamke mmoja raia wa Congo ambaye ameolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra barani Afrika.
Francine Jisele anaishi na waume wawili, mum… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 ze… Read More
Walianza watanzania wachache sana kutamba kwenye soka la ushindani tena nje ya ardhi ya Tanzania. Kuna Sunday Manara na Je ni nani asiyefahamu mapambano ya mtoto wa uswahilini mitaa ya… Read More
Na MWANDISHI WETU MALUNDE 1 BLOG
Mkazi wa Mtaa wa Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Mseveni Mchele Derefa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, viboko 10 na faini ya Shi… Read More
Jina langu ni Koome, maisha yangu hayakuwa rahisi, wazazi wangu wote walifariki nilipokuwa msichana mdogo na nilienda kuishi na shangazi yangu, shangaza pia hakuwa tajiri na hakuweza hata k… Read More
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Mifumo na Huduma za TEHAMA (DISDS) Bw, Mohammed Mashaka wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizungumza wakati wa kikao kazi cha ku… Read More
MKAZI wa Kijiji cha Mgongola A Kata ya Kwamgwe wilayani Handeni mkoani Tanga, ameuawa kwa kukatwa kichwa na watu wasiojulikana wakati akichuma mboga shambani.
Akizungumzia tukio hilo lilil… Read More
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Mohamed Salehe wa tano kulia mwenye koti akifuatilia kwa umakini Mafunzo Maalumu yanayohusu matibabu… Read More
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya ametoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Wilaya kupitia mwa mtendaji kata ya Chikuyu kuboresha miundombinu ya barabara ya kuingilia… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ametoa msaada wa Majiko ya Gesi 250 kwa Mama Lishe Wilaya ya Kahama ili kuwarah… Read More
Tunaishi kwenye famila ya pamoja na baadhi ya ngugu zake mama wa kiume ambao wao hawakuwa wameoa tayari, ni wajomba wawili na shangazi mmoja dada yake baba naye pia bado hakuwa ameolewa. Mi… Read More
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa kushoto akizundua msimu wa sita wa Tanga Women Gala Jijini Tanga linaloandaliwa na Kampuni ya Five Brother Intertainment kulia ni Mkurugenzi w… Read More
Afisa Uhusiano kutoka GGML, Ruth Mharagi akitoa elimu kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari wasichana Nyankumbu, namna ya kutumia pedi pindi wawapo kwenye hedhi.
Na Mwandishi Wetu
Hedhi ni… Read More
Waziri wa Maliasili, Mhe. Mohammed Mchengerwa, jana Mei 6, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, Donald Trump Junior, al… Read More
Hapo Januari mwaka huu, kuna familia ilihamia karibu na mahali nilipokuwa naishi, ghafla nikagundua mke wa jirani yangu yule ni mrembo sana, mtoto ni kisu kweli kweli, unaweza kutokwa na ud… Read More
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini imek… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Oryx Gas Tanzania Arama Benoit akishiriki mbio za kilomita tano katika mashindano ya Tulia Marathoni yaliyofanyika jijini Mbeya kwa lengo la kukusanya fe… Read More
Charles Elias (18) Mkazi wa Mtaa wa Kigoma, mkoani Katavi amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu tumboni na watu wasiojulikana majira ya usiku katika eneo la Mtaa wa Kawajense Manispaa ya… Read More
MKUU wa wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi lengo likiwa ni kuhamasisha utalii wa ndani
MK… Read More
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Old Shinyanga Rashid Mashaka miaka 14 amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa amelala kuungua moto.Tukio hilo limetokea usiku wa k… Read More
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bernard Konga akizungumza na Waandishi wa habari Dodoma.Na Dotto Kwilasa,Malunde I Blog-DODOMAKUTOKANA na maboresho yanayoendelea kufanyika kwenye Mfuko wa Taif… Read More
NA HALIMA KHOYA,SHINYANGAMtoto mwenye umri wa miaka 3 (jina limehifadhiwa) mkazi wa mtaa wa dome Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kubakwa mtu ambaye hakufahamika mara moja ka… Read More
Jina langu ni Majaliwa kutokea Mombasa nchini Kenya, ni Baba wa familia, mimi na mke wangu katika miaka sita ya ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike… Read More
Jeshi la Ulinzi nchini Uganda limemkamata pasta na maafisa watatu wa polisi kufuatia kisa cha mwanamke mmoja raia wa kigeni kudaiwa kubakwa na kutapeliwa pesa zake.Kukamatwa kwa mchungaji hu… Read More
Na Norah Damian, Mtanzania Digital
Stanley Athanas (si jina lake halisi) aliposimama kuchangia mjadala wa ukatili wa kijinsia alivuta hisia za washiriki; wapo walioangua kicheko na wengine w… Read More