Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mikondo Miwili ya Uzalishaji Maji wa Kiwanda cha Suma JKT Bottling Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
Afisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya JKT Tanzania, Masau Bwire akizungumza na waandishi wa habari Mjini Shinyanga leo Jumatano Septemba 27,2023
Afisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya JK… Read More
Afrika Kusini na Marekani zitaanza majaribio ya chanjo mpya ya kuzuia VVU na zimeanza kuwaandikisha washiriki kushiriki katika majaribio ya kimatibabu.
Kulingana na shirika la utafiti la… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya siku mbili ya kujenga uwezo kuhusu mfumo wa Anwani za Makazi kwa Maafisa Tarafa,Watendaji wa Ka… Read More
Na Mwandishi Wetu, Dodoma.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA yawasisitiza Wafanya biashara na Wazabuni wote nchini Kuendelea kujisajili katika Mfumo mpya wa Ununuzi wa Umma kwa… Read More
Maendeleo ya Teknolojia yamekuja na manufaa makubwa lakini papo hapo katika uandishi wa kazi za kitaaluma yameleta changamoto nyingi ikiwemo utengenezaji wa machapisho kupitia akili bandi… Read More
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo),Dkt Daniel Mushi akiongea na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd kilichopo wilaya… Read More
Na Shemasi George Rugambwa- Seminari ya Ntungamo, Bukoba
Leo TEC imetoa tamko lake kuhusu mkataba wa kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai. Tamko lake limeelezewa kwa… Read More
Kampuni ya Vanilla International Limited imeanzisha mradi wa VANILLA VILLAGE KENYA ,Mombasa nchini Kenya katika mji mdogo wa Mariakani.
Mkurugenzi wa Vanilla International Limited Dunian… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM- Taifa Donard Megitii amewataka Wafugaji wa kuku nchini kuongeza uzalishaji wenye tij… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dar es Salaam kuhusu ufadhili kwa wahitimu wa Kidato cha Sita wapatao… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akiendesha moja ya baiskeli ya magurudumu matatu iliyotengenezwa na kubuniwa na Taasisi ya Tanzania Open Innovation Organizatio… Read More
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Micha… Read More
Mkurugenzi wa Tume ya Tehama (ICTC), Dk. Nkundwe Mwasaga,akizungumza kuhusu mwamko wa vijana wenye bunifu na umuhimu wa Tume hiyo.
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Tume ya Tehama (ICTC)… Read More
Na Mussa Enock,DODOMA.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imefanikiwa kutengeneza mfumo shirikishi wa kidijitali wenye usalama na gharama nafuu unaomuwezesha mwananchi au taasisi kutengene… Read More
Na Dotto Kwilasa,DODOMA.
MBUNGE wa Geita vijijini Joseph Musukuma ameishauri Serikali kuona haja ya kuwa na utaratibu wa kuwapeleka Waandishi wa habari kushuhudia hali na mfumo wa… Read More
Na Clara Matimo, Buchosa
BAADHI ya wakulima wa kata za Nyakalilo, Kazunzu na Iligamba katika halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamelalamikia mfumo wa ununuzi mbolea ya… Read More
Mwenyekiti Bi. Mary Mtui (wa kwanza kulia), akiendesha kikao cha Kamati Tendaji ya Project ECHO Tanzania, Dodoma. Katikati ni Mratibu wa Project ECHO Tanzania Bw. Jacob Lusekelo, ambaye pi… Read More
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
BENKI Letshego na TCB Bank zimeingia mkataba maalum kuhakikisha wateja wao wanapata huduma bora na za uhakika za kifedha.
Akizungumza leo Dar es Salaam Me… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule,akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano VETA Bw.Sitta Peter mara baada ya kutembelea banda la VETA wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Ubunifu 20… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Taasisi za Fedha nchini zimeshauri kuundwa Kikosi Kazi kitakachohusisha taasisi hizo na nyingine ikiwemo Wizara ya Madini, Shirika la Madini la Taifa (ST… Read More
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipozindua nyumba za makazi za watumishi wa umma zilizopo Mago… Read More
Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu.Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindu… Read More
Kamisheni ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini (TCDC) imeanza kutekeleza mpango ya kubadili namna ya kuendesha vyama vya ushirika na kuviwezesha kutumia teknolojia za kisasa katika kufanya s… Read More