Picha ya pamoja kati ya waandishi wa habari na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA).
Balozi wa Ja… Read More
Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Sehemu ya wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari JK Nyerere iliyopo Tarime iliyojengwa na Barrick North Mara wakicheza na kuimba kwa furaha wakati wa mahafali yao shuleni.
P… Read More
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. ADAM KIGHOMA MALIMA amewataka wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania-TPA kutumia michezo ya bandari 2023 kuimarisha afya zao na kuongeza tija… Read More
Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Waefso 6:18 kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote Yuda 1:… Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mikondo Miwili ya Uzalishaji Maji wa Kiwanda cha Suma JKT Bottling Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
Amri za kwanza Mungu aliziandika juu ya mawe aliyoyachonga yeye mwenyewe, lakini mawe yale ambayo juu yake amri 10 yalivunjwa vunjwa na Musa wakati ule ule aliposhuka kutoka mlimani…… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
KUELEKEA tamasha la 15 la jinsia Novemba 7-10, 2023 na Tapo la Ukombozi wa mwanamke Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unajivunia mafanikio ya baadhi ya sheria… Read More
Na mwandishi Maswayetu blog;
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO kuhakikisha
kwamba nafasi za kazi zote Tanzania zinatolewa kwa usawa na uwazi kwa vijana
wote wanaopambana kutafuta k… Read More