KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Msimamizi wa kituo cha Afya cha Bikra Maria Mama wa Tumaini (BMMT) na Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya ATFGM, Sister Jacqueline Gbanga akielezea namna wanavyoshirikiana na PEPFAR kuk… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka hu… Read More
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj b… Read More
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick North Mara uliopo wilayani Tarime mkoani Mara wakishiriki zoezi la kupanda miti katika maeneo ya mgodi wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingi… Read More
Veronica Simba na Issa Sabuni - REA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani Singida na imewas… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa sekta ya Misitu na Nyuki kukamilisha mkakati wa kuongeza uzalishaji wa asali toka tani 35000… Read More
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga, Fue Mrindoko na viongozi wa Jumuiya ya Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini na kamati ya utekelezaji wakitembelea na kukagua ujenz… Read More
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Juma Ramadhani katika akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika Viwanja vya Hospitali… Read More
Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya Benki ya CRDB inayolenga kati… Read More
MKUU wa wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi lengo likiwa ni kuhamasisha utalii wa ndani
MK… Read More
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), James Shimbe ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Usimamizi TCB akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Afisa Kilimo Mwandamiz… Read More
Afisa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Kaskazini – Arusha Bw. Baraka Mgimba akitoa mada kuhusu Uadilifu katika mafunzo kwa viongozi na watumishi wa umma kut… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungunza kwenye kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya Jamii na Maafisa TEHAMA wa Halmashauri mbalimbali nchini kuhusu Kanzidata ya Taif… Read More
Na Dotto Kwilasa,DODOMASERIKALI kupitia Wizara ya habari, mawasiliano na Teknolojia ya habari imekutana na wafanyabiasha wa Jiji la Dodoma kuwapa mafunzo kuhusu umuhimu wa … Read More
Bishop Dr Suleiman Elisha Mjumbe na katibu wa Bodi (TWWT) kushoto akimkabidhi cheti Dr Nathanael Kigwila Kulia kwake, Kushoto kwa ni Mke wa Kigwila Bi Gloria Kigwila pamoja na mtoto wao Enoc… Read More
Rais wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament - PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira akihutubia wakati akifunga Mkutano wa kwanza wa kawaida wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Par… Read More
Mshindi wa kwanza mbio za baiskeli Km 150 Shinyanga - Isaka Boniphace Ngwata akiwasili katika eneo la Kambarage baada ya kukimbia kwa muda wa saa 4 na dakika 5.Na Kadama Malunde - Malunde 1… Read More
Na Yohana Shida, Geita
Nchini Tanzania Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la Kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika ilikuwa mwaka 2012.
Sensa ya mw… Read More
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza na Wananchi katika Kijiji cha Lugarawa wilayani Ludewa baada ya kufika kijijini hapo kutatua changamoto ya upatikanaji umeme.Waziri wa Nis… Read More
*Awataka pia wahamasishe wananchi kuhusu Sensa ya Makazi na WatuWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata hali… Read More
Viongozi mbalimbali wa kata zilizolengwa na mradi huo wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mradi wa Hisani katika jamii( Community Philanthropy)Na Suzy Luhende,ShinyangaS… Read More
Tunarudisha Kwenye Jamii Inayotuzunguka.
Meridianbet kwa kushirikiana Emanuel Mkuchu (muandaaji wa Meridianbet Mkuchu cup) pamoja na Taasisi ya Bega kwa Bega na Mama, walishirikiana ku… Read More
AFISA Mazingira Mkoa wa Simiyu Juma Kazula (mwenye tisheti ya kijani) akitoa elimu ya namna ya kuondoa kiriba kabla ya kupanda mti mbele ya wanafunzi wa sekondari Lubiga iliyopo wilayani Mea… Read More
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akikabidhiwa zawadi ijulikanayo kama nyengo katika ufunguzi wa Siku ya Utamaduni wa Mtanzania katika Kijiji cha Makumbusho jijini D… Read More