Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Rwanda Yapitisha Makubaliano ya Eneo la Biashara Huria Barani Afrika



Baraza la mawaziri la Rwanda limepitisha mswada wa sheria inayoidhinisha Eneo la Biashara Huria Barani Afrika AfCFTA.

Baraza hilo pia limepitisha itifaki kuhusu biashara ya bidhaa na huduma, pamoja na utaratibu wa kusuluhisha migogoro uliosainiwa mwezi Machi mjini Kigali, Rwanda.

Makubaliano ya eneo la biashara huria barani Afrika yanayolenga kuongeza biashara kati ya nchi za Afrika, yamesainiwa na zaidi ya nchi 44 kwenye Mkutano wa 10 wa viongozi wa nchi na serikali za Umoja wa Afrika uliofanyika mjini Kigali.


This post first appeared on Maisha Yetu, please read the originial post: here

Share the post

Rwanda Yapitisha Makubaliano ya Eneo la Biashara Huria Barani Afrika

×

Subscribe to Maisha Yetu

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×