Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

ASKOFU GWAJIMA AZIMIA AKIHOJIWA NA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, MwadhamaThis post first appeared on Bongojunior, please read the originial post: here

Share the post

ASKOFU GWAJIMA AZIMIA AKIHOJIWA NA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

×

Subscribe to Bongojunior

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×