Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

BEI ZA VIFURUSHI KWENYE VING'AMUZI 2018


Tayari tumeshaingia ungwe nyengine nikiwa na maana tayari tumeachana na Mwaka 2017 na sasa ni mwaka 2018 na ndio kwanza tunauanza.. Tuachane na ya mwaka 2017 sina maana hayapaswi kuangaliwa na kuyafanyia kazi laa nikiwa na maana kuna ambayo yapo mapya ambayo tunapaswa kueleka macho yetu huku..!!
Hii hapa orodha ya ving'amuzi na bei za vifurushi bila kusahau idadi ya channel zilizopo kwa vifurushi vyote Kwenye ving'amuzi vyote Tanzania kwa mwaka mpya 2018..
  • Azam TV
  • Continental
  • DStv
  • Digitek
  • StarTimes
  • Ting
  • Zuku TV

Tumaini langu ni kwamba kwa uchache huu nimekurahisishia kitu, katika kutaka kujua bei mpya kwa mwaka 2018.. Kama una Swali, Maoni, Ushauri ama chochote niandikie kwenye ukurasa wa Comment, kama unahitaji private niandikie kwenye Email: [email protected]
+255789476655
JUA ZAIDI...
> Bei za Ving'amuzi mwaka 2018
> Ving'amuzi vyenye Offer mwaka 2018
> Jinsi ya kuhama kifurushi
> Unapata ujumbe wa NO SIGNAL
> King'amuzi kisicho na malipo ya mwezi
> Mafundi wa Ving'amuzi
> Cha kuzingatia kabla hujanunua King'amuzi
> Kuepuka Dish yako kupata kutu
 


This post first appeared on Mustapha MaDish Tech, please read the originial post: here

Share the post

BEI ZA VIFURUSHI KWENYE VING'AMUZI 2018

×

Subscribe to Mustapha Madish Tech

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×