Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Sukothi ni nini? (Mwanzo 33:17).

Jibu: Tusome, Mwanzo 33:17 “Yakobo akaendelea mpaka Sukothi. Akajijengea nyumba, akawafanyia makundi yake vibanda. Kwa hiyo jina la mahali pale pakaitwa Sukothi”.  Tafsiri ya neno “Sukothi” ni “Mahema”.. Hii ni lugha ya kiebrania. Mahali hapa ni pale ambapo Yakobo alipiga kambi baada ya kutoka Padan-aramu, mji aliokuwepo Labani.(Mwanzo 28:1-2), na alikaa huko Padan-aramu kwa muda Read More

The post Sukothi ni nini? (Mwanzo 33:17). appeared first on WINGU LA MASHAHIDI wa kristo.



This post first appeared on Cloud Of Witnesses, please read the originial post: here

Share the post

Sukothi ni nini? (Mwanzo 33:17).

×

Subscribe to Cloud Of Witnesses

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×