Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Je Henoko aliyeenda na Mungu alikuwa ni mwana wa Kaini? (Mwanzo 4:16)

Jibu: Turejee, Mwanzo 4: 16 “Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, akakaa katika nchi ya Nodi, mbele ya Edeni. 17 Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe”. Henoko Aliyeenda na Mungu hakuwa mwana wa Kaini, kwasababu Uzao wa Kaini wote ulilaaniwa, na hivyo hakutoka nabii Read More

The post Je Henoko aliyeenda na Mungu alikuwa ni mwana wa Kaini? (Mwanzo 4:16) appeared first on WINGU LA MASHAHIDI wa kristo.



This post first appeared on Cloud Of Witnesses, please read the originial post: here

Share the post

Je Henoko aliyeenda na Mungu alikuwa ni mwana wa Kaini? (Mwanzo 4:16)

×

Subscribe to Cloud Of Witnesses

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×