Get Even More Visitors To Your Blog, Upgrade To A Business Listing >>

Blog Directory  >  Spirituality Blogs  >  Cloud of Witnesses spirituality Blog  > 

2023-05-22 11:14
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Ipo tabia ambayo tunapaswa tujifunze kuhusu Mungu. Kama tunavyojua, alipomaliza kuumba vitu vyote ndani… Read More
2023-05-19 07:01
Jina la Bwana na Mwokozi wetu, Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia!. Usipoujua ufunuo umhusuyo Yesu hutaona sababu ya kumwamini wala kumfuata, vile vile usipopata ufunuo wa kutos… Read More
2023-05-18 18:16
SWALI: Wakolosai 3:5 inamaana gani?. Tofauti kati ya tamaa mbaya na kutamani ni ipi? JIBU: Wakolosai 3:5 Inasema..   “Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati… Read More
2023-05-18 05:54
Swali: Katika kifo cha Ahabu, biblia inasema alikufa na gari lake likaenda kuoshwa katika birika ambalo wanaoga Makahaba, (1Wafalme 22:38)..hili birika walilokuwa wanaoga makahaba lilikuwaje… Read More
2023-05-16 16:42
Boazi na Ruthu. Atukuzwe Yesu Kristo Bwana wetu  na mwokozi wetu, Nakukaribisha tuzidi kuzitafakari siri za ufalme wa mbinguni. Awali ya yote tukumbuke kuwa mahusiano ambayo Yesu anayat… Read More
2023-05-15 16:47
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuzidi kuyatafakari maneno ya uzima. Je! Unahabari kuwa watakaonyakuliwa wameshaanza kuandaliwa?  Je! Wewe upo katika hatua ip… Read More
2023-05-15 05:49
Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Warumi 6:8  “Lakini tukiwa TULIKUFA PAMOJA NA KRISTO, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye&rdqu&hell…Read More
2023-05-06 17:19
Tunaona kuna baadhi ya watu ambao majina yao yameongezwa vionjo kwa mbele, kwa mfano Simoni Petro, Yuda Iskariote, Tomaso pacha, Simoni mkananayo, Yohana Mbatizaji n.k Watu hawa ambao majina… Read More
2023-05-02 19:17
SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Zaburi ni nani? Ni mpangalio wake upoje kulingana na mwandishi? JIBU: Kitabu Cha Zaburi hakikuandikwa na mtu mmoja, Bali ni mjumuisho wa waandishi mbalimbali… Read More
2023-05-01 06:46
(Masomo maalumu kwa Wakristo, Je! Unajijua nafasi yako?.. je unajijua kuwa wewe ni manukato yanayokubalika na pia yasiyokubalika kwa upande mwingine?). Manukato ni neno lingine la “Mar… Read More
2023-04-19 09:33
Mithali 25:14 “Kama mawingu na upepo pasipo mvua; Ndivyo alivyo yeye ajisifiaye karama kwa uongo”. Njia nyingine shetani anayoitumia kuwaangusha watu na kudanganya watu, ni kupit… Read More
2023-04-19 07:48
Karibu katika mafunzo ya biblia. Kwanini tunasema kuwa hili ni kanisa la Mwisho la Laodikia?, Je ni viashiria gani vinavyotutambulisha kuwa hali ya kanisa la Laodikia lile la saba ambalo Mtu… Read More
2023-04-19 02:34
Upo umuhimu wa kufanya ushirika. Ushirika unatokana na neno kushiriki.  Na matokeo ya kushiriki ni kuambukizwa sifa au tabia ya kile kitu unachoshirikiana nacho. Watu wengi hatujui hata… Read More
2023-04-13 20:28
Jibu: Kushuhudia kunatokana na neno “Ushuhuda”. Mtu anayetoa taarifa ya jambo fulani alilolishuhudia au aliloshuhudiwa basi hapo anatoa ushuhuda. Kwamfano mtu anaweza kuona ajali… Read More
2023-04-05 23:20
Majukumu ya Mzazi ni kumlea mtoto katika njia inayompasa, kwasababu hekima ya Mungu inasema, hataiacha njia hiyo hata atakapokuwa mzee. Mithali 22:6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, N… Read More
2023-04-05 21:44
Usiwe na Uchungu na Mke wako!. (Masomo maalumu kwa Wanandoa)-UPANDE WA WANAUMEM/ MAJUKUMU YA WANAUME. Neno la Mungu linasema.. Wakolosai 3:19  “Ninyi waume, wapendeni wake zenu MS… Read More
2023-04-03 02:03
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele. Nakualika Tena wakati huu tujifunze maneno ya uzima wa Roho zetu. Wengi wetu tunavutiwa na maisha ya Yesu alipoanza huduma, tunaf… Read More
2023-04-01 17:00
Zaburi 144:1 “Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana” Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tujifunze ma… Read More
2023-03-31 11:45
Karibu tujifunze biblia. Matendo 3:22 “ Kwa maana Musa kweli alisema ya kwamba, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye katika mambo yote atak… Read More
2023-03-24 13:11
Kibiblia mapepo yanafananishwa na inzi. Inzi sikuzote huvutiwa na mazingira ya aina mbili. Ya kwanza ni uchafu. Mahali palipo na uchafu hapakosi inzi, Na ndio maana Bwana baada ya kuhakikish… Read More
2023-03-23 20:35
Jibu: Tusome, Marko 14:27  “Yesu akawaambia, Mtakunguwazwa ninyi nyote kwa ajili yangu usiku huu; kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo watatawanyika”. Kukungu… Read More
2023-03-21 17:44
Tusome, Matendo 27:25 “Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa. 26 Lakini hatuna budi kupwelewa katika kisiwa kimoja&rdq&hell…Read More
2023-03-17 02:05
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Biblia inatuambia Yesu ndiye njia na kweli na uzima. (Yohana 14:6) Ni kweli wakristo wengi tunamtambua yeye kama njia, lakini hatujui tabi… Read More
2023-03-16 09:24
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe daima, karibu tujifunze Biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Maandiko yanatuonyesha k… Read More
2023-03-15 02:15
JIBU: Maandiko hayaweki wazi ni katika umri gani Yeremia aliitwa isipokuwa watafiti wengi ya Biblia wanakadiria Yeremia aliitwa katika umri wa miaka 20, au chini kidogo ya hapo, pengine 17 B… Read More
2023-03-14 22:58
Ikiwa unafanya matendo mazuri yanayompendeza Mungu, basi mshukuru Mungu kwa hayo lakini USIJISIFU wala kujigamba hata kidogo kwa hayo. Kwasababu wakati unadhani kuwa umefanya 100 yanayo… Read More
2023-03-14 18:17
Tusome, Mithali 13:2 “Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri” Haini ni jina lingine la mtu ambaye ni “Msaliti”, mtu anaye… Read More
2023-03-14 11:01
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Naamini kuwa ulishawahi kusoma katika maandiko kuwa kuna mahali Yesu alilala. Lakini ulishawahi kujiuliza ni kwanini habari ile iandikwe… Read More
2023-03-10 02:20
Baraka ni karama ya Mungu, na kila mmoja wetu aliyekombolewa na Yesu, ahadi hiyo ni yake. Baraka zimegawanyika mara mbili, zipo baraka za mwilini, na baraka za rohoni. Lakini kubwa zaidi ni… Read More
2023-02-28 22:38
Biblia imetuonya imetutahadharisha vitu vitatu vilivyo na udanganyifu kuliko vitu vyote. 1.MOYO Moyo wa mtu ndio kitu kilicho kidanganyifu kuliko vyote.. Yeremia 17:9 “Moyo huwa mdanga… Read More
2023-02-28 16:47
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini siku ile Bwana Yesu alipofufuka kutoka katika wafu, hakupotea na kutokea nje ya kaburi kisha kuendelea na safari yake ya kuwatokea mitume, na watu wengine lak… Read More
2023-02-21 07:15
SWALI: Nini maana ya huu mstari? JIBU: Maandiko yanasema Upepo wa kusi huleta mvua, hapo hasemi ‘upepo’ huleta mvua hapana bali anasema ‘Upepo wa kusi’, Maana yake ni… Read More

Share the post

Cloud of Witnesses

×

Subscribe to Cloud Of Witnesses

Get updates delivered right to your inbox!

Thank you for your subscription

×