Sheikh maarufu Manispaa ya Shinyanga na Kanda ya Ziwa kwa ujumla Sheikh Msafiri Kitumbo ambaye pia ndiye Mratibu wa Maulid za Mtume Mohamed S.A.W Kanda ya ziwa amempongeza na kumfananisha… Read More
Jeshi la Polisi Tanzania limewataka watu wote wenye tabia ya kuvaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya ulinzi na usalama kinyume na sheria za nchi, kuacha tabia hiyo mara moja kwani… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi… Read More
************* Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendeshaukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya kuuzia nyama kwalengo la kujiridhisha kama Vipimo vinatumika kwa usahihi.Takribani… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugonjwa wa shinikizo la juu la damu nchini bado ni kubwa ambapo kwa wagonjwa waliotibiwa katika Taasisi ya moyo Jaka… Read More
Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital
Serikali imesema imani, mila, na desturi za kitamaduni, ukosefu wa usawa wa kijinsia bado ni miongoni mwa sababu zinazorudisha nyuma udhibiti wa magonjwa… Read More
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Yahaya Nawanda akiongoza kikao cha RCC.Na Marco Maduhu, SHINYANGAKAIMU Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Yahaya Nawanda, ameongoza kikao cha kamati ya ushauri… Read More
Kaimu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kahama Mkama Msilanga (kushoto), Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Julieth Payovela (katikati) na Mhasibu Miradi wa Kampuni ya Ukandarasi… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyi… Read More
Mfano mwanafunzi akivuta bangiMwenyekiti wa mtaa wa Dome Solomon Najulwa akizungumza kwenye kikao cha mtaa huoNa Suzy Luhende, Shinyanga Press Club BlogMwenyekiti wa mtaa wa Dome kata Ndembe… Read More
Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi CCM wilaya Fue Mlindoko akitangaza matokeo ya wagombea. Na Suzy Luhende , Shinyanga blogMwenyekiti wa jumuia ya wazazi wilaya ya Shinyanga mjini Fue… Read More
Mwanamke mwenye umri wa kati kutoka kaunti ya Meru, alinusurika kifo kwenye tundu ya sindano Jumanne, Oktoba 25, baada ya wakazi wenye hasira kumvamia nyumbani kwake akidaiwa kufumaniwa akif… Read More
Vijana wa Japani hawanywi pombe ya kutosha - jambo ambalo mamlaka zinatarajia kubadilisha kupitia kampeni mpya.Vijana wa kizazi kipya hunywa kiasi kidogo cha pombe kuliko wazazi wao - hatua… Read More
Mwenyekiti wa OJADACT bwana Edwin Soko akizungumza wakati mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kuandika habari za sensa kwa mwendelezo, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina M… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo amesema hayo jana Jijini Dodoma wakati akiongea kwenye kikao cha Wakuu wa shule za Umoja wa Wazazi jijini Dodoma. Na Dotto Kwilasa,DODOMAJUMUIYA ya Um… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na viongozi pamoja na watendaji wa mkoa wa Morogoro wakati wa ziara ya Mawaziri wa Kisekta kupeleka mrejesho wa… Read More
RAIS wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala amesema katika kipindi cha mwaka mmoja cha uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia S… Read More
Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram MwantyalaNA GODFREY NNKOKIONGOZI Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala am… Read More
Mimi niliolewa kwa wakili flani mjini Kitoholi Tanzani ambaye pamoja tumejaliwa kupata watoto wawili. Maisha yetu ya ndoa yalikuwa mazuri hadi hata tulifanya harusi naye kwa furaha. Nai… Read More
Safina Sarwatt, Rombo
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Matonyok Organization linalojishughulisha na Utunzaji wa Mazingira wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, limeanza kutoa miche ya parachich… Read More