Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele
********
Na Mwandishi Maalum - NEC
Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga K… Read More
Na Clara Matimo, Mwanza
Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania(Femata) umepitisha maazimio 14 ikiwemo uanzishwaji wa benki ya wachimbaji wadogo wa madin… Read More
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bw.Geofrey Tengeneza (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 21,2022 Jijini Dar es Salaam, ku… Read More
Na: Hadija Maloya-NIDA.Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewaasa wananchi kuacha kutumia njia na watu wasio rasmi kisheria maarufu kama vishoka wakati wa mchakato wa kuomba Vitambuli… Read More
Na Asha Bani, Mtanzania Digital
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amesema ikifika Januari mwakani kila mtoto awe amesajiliwa na kupata cheti cha kuzaliwa.
Dk.Ndumbaro aliya… Read More
Na. Jovina Bujulu-MAELEZOHivi karibuni Rais John Pombe Magufuli amezindua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa mwezi Oktob… Read More
Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022UtanguliziSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022. Wizara ya F… Read More
SALVATORY NTANDUJeshi la polisi mkoa wa shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zakaria mwalimu (33) Feisal Husein mtaalamu wa teknolojia ya mawasiliano (27) na Juma Almasi (35)mf… Read More
Na Clara Matimo, Mwanza
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuwataka Wakuu wa Wilaya na mikoa kuwatambua na kuwawekea mazingira wezeshi wafanyabiashara wadogo (… Read More
Na Jonas Kamaleki, DodomaSerikali imetoa shilingi bilioni 49.5 kuimarisha Shirika la Posta na hadi sasa vituo viwili vinavyotoa huduma za pamoja vimeshaanzishwa Dar es Salaam na Dodoma… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
JAMHURI imemfikisha mahakamani mfanyabiashara,, Krushna (37) Mkazi wa Makoroboi Mwanza kwa tuhuma za kuiba bidhaa zenye thamani ya Sh milioni 284.8 alivyopewa na K… Read More
Na Munir Shemweta, ILEMELAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Wizara ya Ardhi kuanzia tarehe 1 Julai 2021 itaanza zoezi la uhakiki la kitaifa kuwatambua na k… Read More
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora MagiligimbaNa Kadama Malunde - Malunde 1 blogJeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zacharia (3… Read More
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA,) Mhandisi. James Kilaba*** *Kanuni zaruhusu watumiaji kuhamishiana 'uniti' za vifurushiNa Leandra Gabriel, Michuzi TVMAMLAKA ya… Read More