Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga, Ndugu. Said Kitinga akizungumza wakati akifungua warsha kwa Madiwani, Maafisa Tarafa na wadau wa maji wilaya ya Shinyanga iliyoandaliwa na Mamlaka ya M… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
WADAU mbalimbali wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wamekutana katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) na kuichambua bajeti ya Ofisi ya Rais (Mipan… Read More
Taasisi ya Internet Society Tanzania imewahimiza wananchi kutumia fursa ya huduma ya Internet kujiletea maendeleo, badala ya kufuatilia mambo yasiyo ya msingi na kupoteza muda na gharama z… Read More
SERIKALI inatambua umuhimu wa vivuko na madaraja katika Jimbo la Singida Mashariki ambapo kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini imeweka katika mpango wake kwa mwaka wa fedha 202… Read More
MJUMBE wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT)Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa jumuiya hiyo Marima Ulega amekabidhi simu za mkononi tisa kwa ajili ya kufani… Read More
Katika kipindi cha Miaka Mitatu cha Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani, Serikali ya awamu ya sita imefanya mageuzi makubwa ya Miundombinu ya Ujenzi wa Barabara na madaraja Mkoa… Read More
Mwenyekiti wa Bodi TGNP, Bi. Gemma Akilimali akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo TGNP wameanzisha leo Machi 6, 2024 kwenye viwanja vya TGNP-Mtandao Jijini… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa SHUWASA, Mhandisi Yusuph Katopola akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya SHUWASA kwenye mkutano na waandishi wa habari leo Alhamisi Januari 4,2024. Kushoto ni A… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) Kupitia vituo vya Taarifa na Maarifa Wilaya ya Ubungo wamekutana kuichambua bajeti ya 2023/2024 yenye mlengo wa Jinsi… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Katika kilele cha Warsha ya Asasi za kiraia,iliyokuwa ikiendeshwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)Wametoa mapendekezo yao katika dira ya Taifa ya 20… Read More
Na Mwandishi wetu
Uwepo wa ngoma za jadi wanazochezwa wasichana wadogo kwa jamii ya Mkoa wa Pwani kumechangia uwepo wa ndoa na mimba za utotoni na kusababisha wasichana kuhsindwa kufikia… Read More
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, amewataka wahitimu wa mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kuitumia elimu waliyoipata kufanya tafiti zitakazosaidia ku… Read More
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema serikali imejipanga kuwasaidia wanawake katika biashara ikiwemo kuwapa mitaji na teknoloj… Read More
Na Amo Blog Shinyanga
Tamasha la michezo la "Kichuo Bonanza" lafanyika katika uwanja wa michezo wa Ushirika na wanachuo wa MoCU waibuka na ushindi katika michezo yote.
Bonanza hilo lili… Read More
Na Deogratius Temba
Mtandao wa Wanawake, Katiba, Uongozi na Uchaguzi, ambao wamekuwa wakidai na kushawishi mabadiliko ya kisera, kisheria na kimuundo ili kutoa nafasi sawa kwa wanawa… Read More
SERIKALI imeanza ujenzi wa daraja la kuunganisha vijiji vya lighwa na Ujaire na barabara ya lighwa Ujaire kwa gharama ya Sh. Milioni 345,ambapo kukamilika kwake kutawaondoa wananchi kwen… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Na Kadama Malunde &nda… Read More
Na Mwandishi Maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini Mkurugenzi wa Huduma za TE… Read More
Na Mwandishi Wetu, KILIMANJARO
MBUNGE wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi… Read More
Taasisi ya OMUKA HUB ambayo imejikita katika masuala ya maendeleo na ujumuishi wa kidijitali ikiwemo kuhamasisha matumizi ya mtandao kwa wanawake katika siasa, imefungua mkutano wake jijin… Read More
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaama
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zai… Read More
Na Emmanuel Mbatilo
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Waajiri (Waajiri Health Bonanza) kwa mwaka 2023 lenye le… Read More
Rufiji. Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwek… Read More
******************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imewakutanisha Waandishi wa habari na viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kwaajili ya kujadi… Read More
Na Alex Sonna-SINGIDA
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa k… Read More
Na Mwandshi Wetu-DODOMA.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA imezitaka Taasisi zote za Umma nchini kuhakikisha zimepatiwa mafunzo elekezi kwa ajili ya utumiaji wa Mfumo mpya wa Un… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dar es Salaam kuhusu ufadhili kwa wahitimu wa Kidato cha Sita wapatao… Read More
Baada ya miezi sita ya uzoefu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa kutoa mikopo kwa wasanii nchini, umeingia mkataba na Benki ya CRDB kutanua wigo wa fursa hizo ili ziwanufaishe wananchi wengi z… Read More
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Micha… Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuzingatia maadili ya utumishi w… Read More
Mkuu wa Program kutoka TGNP Bi. Clara Kalanga akifungua Mjadala na Uchambuzi wa Bajeti ya Taifa ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 maarufu Jukwaa la ‘Kijiwe cha Kahawa’ kwa niaba ya M… Read More
Deogratius Temba kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania akizungumza na baadhi ya wajumbe wa kituo cha taarifa na Maarifa cha Kijiji cha Miyuguyu kata ya Kiloleli.
Deogratius Temba kutoka Mtanda… Read More
Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuj… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameridhishwa na hali ya upatikanaji wa maji katika jimbo la Kibamba baada ya ziara ya mtaa kwa mtaa kwenye Kata ya Kwembe na Kibwegere na… Read More