Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeahidi kushirikiana na Benki ya NMB ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujuzi na vipaji kwa vijana wa Kitanzania… Read More
Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuhusu… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara kwenye mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 15-20 Septemba, 2023.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolew… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia Kituo Cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kwa ufadhili wa Mpango wa Dharura wa Rais… Read More
Kamishna wa Elimu Lyabwene Mtahabwa (wa kwanza kushoto) akika utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamati ya Ushauri wa Viwanda kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi yaani (Hig… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Julai 26,2023- Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Chri… Read More
Baada ya miezi sita ya uzoefu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa kutoa mikopo kwa wasanii nchini, umeingia mkataba na Benki ya CRDB kutanua wigo wa fursa hizo ili ziwanufaishe wananchi wengi z… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amewaomba watanzania kutokubali kupotoshwa na mtu yoyote kuhusu uwekezaji unaotaka kufanyika baina ya serikali ya Tanzania nay a Dubai na kusisit… Read More
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba (watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea gawio la Shilingi bilioni 24.6 kutokana na uwekezaji wa Serikali Kuu kwa kushi… Read More
Mkurugenzi Kanda wa IFC Jumoke Jagun-Dokunmu,
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu Dkt.Doroth Gwajima.
Na Dotto Kwilasa,Dodoma.
Katika kuwezesha wanaw… Read More
UONGO #1: Serikali imekodisha Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World kwa miaka 100
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi… Read More
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Jesca William, Akizungumza katika hafla ya kukabidhi vyeti kwa wanafunzi wa Kozi fupi ya Uanagenzi iliyofanyika Mei 24,2023 Jijini Dar e… Read More
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga(UVCCM) Ramadhan Omary kulia akiwa na jembe akishiriki kulima na vijana kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vija… Read More
Mashua ya matibabu inayotoa huduma Ziwa Victoria
Na Mwandishi wetu
TANGU Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 20… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katika kukabiliana na vitendo vya udanganyifu, utapeli na upotevu… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24,2022 kuelekea uzinduzi wa mkakati wa utangazaji wa Utalii katika mikoa ya Kusini ambao utafanyika… Read More
Mkurugenzi wa Mafunzo,Utafiti, Takwimu, na Uhamasishaji wa OSHA, Bw. Joshua Matiko akiwasilisha mada juu ya masuala ya usalama na afya mahali pa kazi katika kikao cha Baraza Kuu la TUCTA una… Read More
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro N. Kilahala (aliyevaa suti) akisaini mkataba wa ukarabati wa kivuko cha MV. MAGOGONI pamoja na mkandarasi African Marine a… Read More