Na Mwandishi Wetu
TAASISI ya WAJIBU iliyoanzishwa kwa lengo la kukuza mazingira ya Uwajibikaji na utawala bora nchini,imeandaa kikao kazi cha siku tatu cha uchambuzi wa ripoti za Mdhibiti… Read More
Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Na Mwandishi wetu Arusha
Mkuu wa Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) Prof. Eliamani Sedoyeka leo tarehe 15 Septemba 2023 ametoa rasmi ripoti ya utendaji kazi ya mwaka wa fedha 2022/2023… Read More
Na Mariam Kagenda - Kagera
Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Bukoba-BUWASA kwa kushirikiana na Maabara ya maji Mkoa wa Kagera imeendesha zoezi la kupima ubora wa maji kwenye vyanzo… Read More
Mama Kinara Bhoke Mokhe akitoa elimu kuhusu Masuala ya VVU
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Imeelezwa kuwa Afua ya Mama Kinara iliyoanzishwa katika Hospitali ya mji wa Tarime Mkoani M… Read More
*Na Mwandishi Wetu, Angola*
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, (SADC Panel of Elders) akiwa pam… Read More
Na Okuly Julius-Dodoma
KATIKA kukabilia na ongezeko la ajali za barabarani nchini Chuo cha Udereva cha WIDE kwa kushirikiana na Serikali ya wilaya ya Chamwino wameanzisha programu ya m… Read More
Msajili wa Hazina Bw.Nehemiah Mchechu (Kulia) akipokea mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 2.5 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Tanzania Bw.Mohamed Mohamed kama gawio kwa Serikali amb… Read More
HABARI: Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka Watanzania kukosoa na kubishana kwa hoja kwa kutumia maneno ya staha badala ya matusi.
Kauli hiyo aliitoa… Read More
Naibu Waziri – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na wawekezaji wa kiwanda cha kuzalisha bidhaa mbalimbali za chuma cha Stee… Read More
Imeelezwa kuwa kuchelewesha malipo Kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wanaotoa Huduma katika migodi kunachangia kuzorotesha mzunguko wa Biashara za wajasiriamali pamoja na kuishiwa… Read More
Na Jacob Kasiri - Mbarali
Kamishna Msaidizi wa Ardhi - Mkoa wa Mbeya, Syabumi Mwaipopo amesema serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta… Read More
Meneja Mkuu wa Barrick Bulyanhulu,Cheick Sangare akiongea katika hafla hiyo.
Meneja wa Usalama katika mgodi wa Bulyanhulu,Duncan Mclaren akiongea katika hafla hiyo.
Mfanyakazi wa Barri… Read More
*********************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wameipongeza Serikali kwa kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari ikiwemo kwa kuvifungu… Read More
Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuj… Read More
The co-founder of the Good News International Church's family, who may have lost seven relatives in Shakahola, is accusing Malindi police of ignoring several concerns concerning the church's… Read More
Familia moja nchini Marekani inataka uchunguzi wa uhalifu ufanyike kuhusu kifo cha jamaa wao aliyefariki akiwa jela baaa ya kudaiwa kung'atwa na kunguni.
LaShawn Thompson, 35, alipatikan… Read More
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kahama-James Lembeli ( maarufu Ng'wana Maria) amendoka nchini mwishoni mwa wiki iliyopita kwenda New York nchini Marekani.
Akiwa mjini,humo Lembeli ali… Read More
Makamu Rais wa Kampuni mama ya GGML, AngloGold Ashati – anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo akielezea mchango wa GGML katika mdahalo wa miaka miwili ya Seri… Read More
Polisi katika kaunti ya Busia nchini Kenya wanatafuta bunduki iliyoibwa kutoka kwa kamanda wa polisi usiku wa Jumamosi, Februari 18,2023.Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, wezi walivunja nyumba… Read More
Na Mwandihi Wetu, Mtanzania Digital
JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd (GGML) katika fani mbalimbali… Read More
Jeshi la Ulinzi nchini Uganda limemkamata pasta na maafisa watatu wa polisi kufuatia kisa cha mwanamke mmoja raia wa kigeni kudaiwa kubakwa na kutapeliwa pesa zake.Kukamatwa kwa mchungaji hu… Read More
Na Norah Damian, Mtanzania Digital
Stanley Athanas (si jina lake halisi) aliposimama kuchangia mjadala wa ukatili wa kijinsia alivuta hisia za washiriki; wapo walioangua kicheko na wengine w… Read More
Shirika la Umoja la Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati imeandaa warsha ya siku mbili ya wadau wa nishati kutoka Wizara ya Nishati, Wizara ya Ardhi Ny… Read More
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya… Read More