Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Bw. Anathe Nnko akifungua rasmi mafunzo ya kozi za muda mfupi kwa wanafunzi wa Chuo cha Biashara Kibaha. Mafunzo hayo yanatolewa kati… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 ze… Read More
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (wa pili kushoto) Septemba 15 , 2023 akiangalia futi kamba nundu anayoitumia Mwanafunz… Read More
Makamu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Fedha Utawala na Mipango wa chuo hicho, Dkt. Lucas Mwisila akizungumza ameyasema hayo Septemba 8, 2023 katika hafla fupi ya uzinduzi wa J… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka ameishauri Jamii kuona umuhimu wa kuhifadhi maarifa asili kwa kuweka kumbukumbu za mila na… Read More
Siah Malle akitoa tathmini ya miradi ya kiuhandisi iliyobuniwa na wahandisi vijana wa kike katika na Maonesho na Kongamano la 8 la Wanawake Wahandisi Tanzania (TAWECE) yaliyofanyika Zanzib… Read More
Na MWANDISHI WETU MALUNDE 1 BLOG
Mkazi wa Mtaa wa Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Mseveni Mchele Derefa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, viboko 10 na faini ya Shi… Read More
Na Mariam Kagenda - Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa amefanya ukaguzi ujenzi wa vyumba 16, jengo la utawala na matundu 18 ya vyoo shule mpya ya awali na Msingi Nyakahita ili… Read More
Kamishna wa Elimu Lyabwene Mtahabwa (wa kwanza kushoto) akika utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamati ya Ushauri wa Viwanda kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi yaani (Hig… Read More
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya ametoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Wilaya kupitia mwa mtendaji kata ya Chikuyu kuboresha miundombinu ya barabara ya kuingilia… Read More
Ujenzi Mabweni ya wasichana umetajwa mkombozi kutimiza ndoto za mtoto wa kike
Na Marco Maduhu, GEITA
WANAFUNZI ambao wanasoma katika Shule ya Sekondari Msalala Halmashauri ya Nyang&rsquo… Read More
Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) kwa kushirikiana na Shule ya Sekondari ya Coastal ya jijini Tanga, zimezindua Klabu ya Mkonge kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo imelenga kuwafundisha vij… Read More
Jackson Malangalila mwezeshaji katoka Mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) akizungumza na Musa Juma mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Msingi Shilela
Mwanafunzi wa kidato cha nn… Read More
Mwanachuo aliyejiteka
Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma… Read More
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Seleman Jafo akiwa wilayani Kishapu kuangalia utekelezaji wa miradi ya kuhimili mabadiliko ya tabia nchi.
Na Marco Maduhu, KI… Read More
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Aprili 7,2023.
Na Salvatory Ntandu - Kahama
Mkazi wa mtaa wa Nyasubi wilay… Read More
Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhiri… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAMHuenda kiu ya watu wenye ulemavu kupata elimu juu ya vile wanavyovipenda ikawa imepata majibu baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kuja… Read More
Na Denis Sikonde, Songwe
WAKATI wanawake wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wakiadhimisha siku ya wanawake duniani imeelezwa kuwa katika kipindi cha mwaka 2022 na 2023 jumla ya wanawake 357 na… Read More
Mwenyekiti wa COWOCE B, Mosi Rashid (aliyevaa ushungi) na Mwenyekiti wa COWOCE A Magdalena Yohana (aliyevaa nguo ya zambarau) na Mkurugenzi wa COWOCE, Joseph Ndatala (mw… Read More
Kampeni ya upandaji miti ikiendelea katika shule ya Msingi Ndembezi Manispaa ya Shinyanga.Na Marco Maduhu, SHINYANGACHAMA kisicho cha kiserikali Tanzania Girl Guides Association kimeendesha… Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vinavyotoa mafunzo ya Malezi… Read More
Mfano mwanafunzi akivuta bangiMwenyekiti wa mtaa wa Dome Solomon Najulwa akizungumza kwenye kikao cha mtaa huoNa Suzy Luhende, Shinyanga Press Club BlogMwenyekiti wa mtaa wa Dome kata Ndembe… Read More