Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Maku… Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mikondo Miwili ya Uzalishaji Maji wa Kiwanda cha Suma JKT Bottling Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi… Read More
Serikali inakusudia kujenga Meli mpya ya Mizigo, Barabara ya Lami na Reli ili kuwezesha Bandari ya Karema iliyopo Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, iliyokamilika Ujenzi wake kwa Asilimia… Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong akiwa pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo Vallence Ibrahim wakiongoza matembezi hayo ambayo yalishirikisha baadhi ya wafanyakazi na wak… Read More
Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeahidi kushirikiana na Benki ya NMB ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujuzi na vipaji kwa vijana wa Kitanzania… Read More
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameongoza kikao cha Watendaji wa Wizara na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini yake ikiwa ni utaratibu ulioanzishwa wa kukutana kila Jumamosi ya mwisho wa… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendesha Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya… Read More
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, akizungumza na waandishi wa habari katika Mgodi wa North Mara juzi kuhusu athari chanya za ubia wa kimageuzi katika uchimbaji madini… Read More
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia miradi endelevu Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto) akimpatia maelezo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko kuhusu… Read More
Asilimia kubwa ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), wana uwezo mkubwa wa kuchanganua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokabili jamii yetu.
Hayo yamesemwa na Wazi… Read More
Kupitia utekelezaji wa muelekeo mpya ujulikanao kama Vision 2030, Serikali yaweka mkakati wa kuifanya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) kuwa kinara wa upatikanaji na utoaji… Read More
#Bei yake kwa Sasa Yatajwa ni Mara 10 Zaidi ya Tanzanite
Na Wizara ya Madini - Bangkok
Imeelezwa kuwa Madini ya Vito aina ya Spinel yanayochimbwa Mahenge Tanzania ni miongo… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM- Taifa Donard Megitii amewataka Wafugaji wa kuku nchini kuongeza uzalishaji wenye tij… Read More
Moja ya klabu za kihistoria kabisa katika soka la Hispania ni RC Celta, timu iliyoko katika mji wa Vigo huko Galicia. Katika msimu wa 2023/24, klabu ya Galician itasherehekea miaka 100 t… Read More
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd (wa pili kulia), akimkabidhi Robert Masala kadi ya gari aina ya Toyota Crown baada ya kushinda katika kampeni ya Benki ni SimBankin… Read More
Unapoizungumzia nchi ya Mexico kwa haraka haraka kichwani mwako inakuja taswira ya aina gani kuhusu nchi hii, bila shaka watu wengi wanafikiria historia ya Pablo Escobar mwanaume al… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More