Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Na Mwandishi wetu,Pwani.
*Asisitiza Watanzania wanataka umeme*
*Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo
*TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi*
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza U… Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kw… Read More
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amezindua ramani ya kidigitali ya utambuzi wa mashirika yasiyo ya kiserikali huku akiyataka mashirika hayo kulinda na kutunza … Read More
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki… Read More
Mwenyekiti wa kwaya ya Mwenyeheri Maria Theresa Leochowska, Dk.Paul Loisulie,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya zoezi la utoaji damu katika kuelekea kwenye uzinduzi tamash… Read More
*Mkurugenzi Mkuu amueleza Naibu Waziri Mkuu jinsi wanavyowafikia wachimbaji wadogo
*Mkoa wa Geita pekee walikusanya bilioni 56 kwa mwaka fedha ulioishia Juni 2023
Na MWANDISHI WETU, GEIT… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo Mhe.Kitila Mkumbo amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Maendeleo ya Mradi wa Uondoshaji Majitaka wa PSSSF, Sinza - Kijitony… Read More
Na Mwandishi wetu -Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amesisitiza kuwa utunzaji wa kumbukumbu na Nyaraka za Serikali ndio msingi mkuu wa Taifa katika uendeshaji w… Read More
Makamu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Fedha Utawala na Mipango wa chuo hicho, Dkt. Lucas Mwisila akizungumza ameyasema hayo Septemba 8, 2023 katika hafla fupi ya uzinduzi wa J… Read More
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ,Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Chalinze.
NA ELISANTE KIN… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (wa kwanza kushoto) akikagua uwanja wa kwaraa yatakapofanyika maadhimisho ya k… Read More
Mkuu wa wilaya ya Mbulu Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara wilaya ya Mbulu.
Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa… Read More
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wananchi hususani wa Kata ya Mbezi, Ubungo na Mshikamano ambao ni wanufaika wa mradi wa maji Mshikamano kuwa na subira ya k… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi… Read More
Na Alex Sonna-SINGIDA
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa k… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfu… Read More