Mwenyekiti wa kwaya ya Mwenyeheri Maria Theresa Leochowska, Dk.Paul Loisulie,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya zoezi la utoaji damu katika kuelekea kwenye uzinduzi tamash… Read More
*************
Na Mwandishi wetu
UONGOZI wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kutambua umuhimu wa michezo katika kujenga afya ya mwili na akili kwa wafanyakazi, umejenga kiwanja cha m… Read More
Jina langu ni Koome, maisha yangu hayakuwa rahisi, wazazi wangu wote walifariki nilipokuwa msichana mdogo na nilienda kuishi na shangazi yangu, shangaza pia hakuwa tajiri na hakuweza hata k… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Makamu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Shinyanga Zachayo Enock Bugota ameweka Jiwe la Msingi katika Nyumba ya… Read More
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa ufafanuzi wa viwanja vinavyomilikiwa kampuni ya Slipway Towers Ltd vilivyopo Msasani Penins… Read More
Meneja wa Shirika la Nyumba (NHC) Angelina Magazi (kushoto) akimkabidhi nyaraka mbalimbali ikiwemo ramani ya ujenzi wa jengo la kisasa la kibiashara linalojengwa katika eneo la kiwanja ch… Read More
Bwana Mwifyusi , Moses Chicago pamoja na Robert mtoto wa Mwakipesile ndiyo madalali wakubwa walioshikilia tenda zote hapa mtaani kwetu kuanzia uuzaji wa viwanja mpaka ununuzi wa magari ya k… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Hassan Suluhu akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Hudum cha Mkoa wa Kagera kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA Ant… Read More
Jeneza la mfalme wa soka duniani hayati Pele.Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva Jumanne anaongoza mazishi ya bingwa wa kandanda Pele ambaye atakumbukwa kama mchezaji bora zaidi katika… Read More
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua jengo la tatu la abiria kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Nyerere ili kuona maandilizi ya mapokezi kwa wajumbe wa mkutano wa SADC.Akizungumza na waten… Read More
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akikabidhiwa zawadi ya picha na Mkuu wa Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSuBa) Dkt.Herbert Makoye mara baada ya kutembe… Read More
Na Eliud RwechunguraKamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. David Kihenjile (Mb) na Makamu Mwenyekiti Mhe. Eric Shigongo i… Read More
SERIKALI ya awamu ya tano imetenga kiasi cha shilingi bilioni 37 kukarabati uwanja wa ndege wa Songea ambao utawezesha kwa wakati mmoja kubeba ndege sita aina ya bombardier.Akito… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu ameiomba Mahakama iamuru Gazeti la The Citizen kumlipa fidia ya Sh bilioni tatu na k… Read More
Hakuna kitu kinampa mtu uhakika wa maisha mjini kama kumiliki nyumba yake binafsi, maisha ya kulipa kodi mjini yamekuwa yakiumiza watu wengi hadi wengine kuamua kurejea vijijini.Wamiliki wa… Read More
Ama kwa hakika siasa hapa nchini Kenya huwa na wenyewe jinsi watu wanavyosema. Kila mara nilipowaona wanasiasa wakishinda viti mbalimbali hapa nchini nilidhani ni swala rahisi tu bora kujiel… Read More
*TRC kuanza awamu ya pili ya ujenzi wa SGR
*Madaraja yaimarishwa kila pembe ya nchi
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali kupi… Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu saba [07] raia wa nchini Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.Watuhumiwa walikamatwa mnamo tarehe 20.11.2021 majira y… Read More
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula, akizungumza katikati ya wiki na watumishi wa idara za ardhi na wadau mbalimbali wa Mkoa wa Singida katika ziara yake… Read More
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani)… Read More
Bibi Elizabeth Msalali Chilingo (90) (aliyeshika hati ya ardhi) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi( mwenye msalaba), Vi… Read More
Na Prisca Ulomi, WUUM, KIANaibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua safari za ndege za mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuw… Read More