Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeahidi kushirikiana na Benki ya NMB ili kuimarisha, kukuza na kuendeleza ujuzi na vipaji kwa vijana wa Kitanzania… Read More
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameongoza kikao cha Watendaji wa Wizara na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini yake ikiwa ni utaratibu ulioanzishwa wa kukutana kila Jumamosi ya mwisho wa… Read More
*Mkurugenzi Mkuu abainisha mafanikio lukuki, asema yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
*TEF yakoshwa na utendaji wa NSSF yapongeza kazi kubwa i… Read More
Kupitia utekelezaji wa muelekeo mpya ujulikanao kama Vision 2030, Serikali yaweka mkakati wa kuifanya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) kuwa kinara wa upatikanaji na utoaji… Read More
Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuberi Kidumo
Baada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii inayodai kuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuberi Kidumo alipigwa na diwani wa Mji Mpya, Abuu… Read More
Na Mwandishi wetu _ Malunde 1 blog
WANANCHI wa kijiji cha Kiloleli halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga wamefanikiwa kuanzisha ujenzi wa matundu 24 ya vyoo na chumba kimoja cha kujistir… Read More
Waziri wa Ardhi Mhe. Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao cha wakuu wa mikoa na makatibu tawala kinachoendelea katika chuo cha uongozi cha Mwalimu J K Nyerere kibaha mkoani Pwani tar… Read More
Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kikiendelea
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko… Read More
******************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imewakutanisha Waandishi wa habari na viongozi wa Vituo vya Taarifa na Maarifa kwaajili ya kujadi… Read More
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Micha… Read More
Na Said Mwishehe, Kondoa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amewahimiza wana CCM kuwa wamoja na kujenga mshikamano ili kwenda katika Uchaguzi wa Serikali z… Read More
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uzalishaji wa Ndani na Ununuzi wa mbolea kwa Pamoja wa TFRA, Josephy Charos akifafanua jambo wakati wa kikao baina ya wajumbe wa Bodi, Menejimenti na Wakulim… Read More
Nyani mdogo na mrembo ambaye anaishi maisha ya kifahari ambayo wengi wangependelea, ndiye anayegonga vichwa vya habari mtandaoni.
Maarufu kama Mojo, mnyama huyo kutoka Marekani anajivunia… Read More
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Bw. Nelson Mlali akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye ofisi za TASAC zilizopo Jijini mwanza, kuhusu maadhimis… Read More
Na Mwandishi Wetu-Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imekubaliana na Kamisheni ya Uingereza kushirikiana ili kuimarisha usawa wa kijins… Read More
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha kuandaa mpango wa pamoja wa mawasiliano wa… Read More
Na John Mapepele
Wadau wa Sekta ya Utalii nchini wametumia mkutano wao na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Sul… Read More
Kaimu Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini Praygod Godwin akizungumza na wafanyabiashara mkoani Tanga jana kuhusu namna walivyojipanga kuendelea kutoa huduma nzuri kwa wafanyabiashara pamoja na… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prf .Adolf Mkenda (Mb) akiteta jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Mohamed Hadid .Waziri wa Elimu na Mafunzo ya… Read More
Na Clara Matimo, Buchosa
BAADHI ya wakulima wa kata za Nyakalilo, Kazunzu na Iligamba katika halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamelalamikia mfumo wa ununuzi mbolea ya… Read More
Mkurugenzi wa Taasisi ya Professor Mwera Foundation ya mkoani Mara,Hezbon Mwera ,akimkabidhi Tuzo ya Heshima Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe.Rosemary Senyamule iliyotolewa na Taasisi ya Profes… Read More
Na John MapepeleWaziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa leo Machi 28, 2023 amefanya kikao na ujumbe wa Serikali ya Finland ulioongozwa na Balozi wa Finland hapa nchini… Read More