Na Beatus Maganja, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amesema Bodi anayooingoza imejipanga kuja na mipango madhubuti ya kuifa… Read More
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2025.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha,amefungua Rasmi Semina ya Familia,Malezi,Biashara na huduma za Afya, ambayo inaendeshwa na Kanisa la Waadventista Was… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Hesabu za Serikali (PAC) imefanya ziara ya kukagua miradi ya umeme Mkoani Shinyang… Read More
Mmoja wa wahitimu wa programu ya mafunzo ya uongozi (FFT) kwa mwama huu, Kulwa Nyirenda anayefanya kazi GGML, akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Wato… Read More
Former President Ali Hassan Mwinyi of Tanzania has on Thursday succumbed to cancer while receiving treatment at a hospital in Dar es Salaam.
Confirming his death was President Samia Suluh… Read More
Nora Damian na Esther Mnyika, Monduli
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ukomavu mkubwa wa kisiasa ulioonyeshwa na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa ni somo kwa Watanzania wanaotaka k… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga ameongoza zoezi la upandaji wa miti lililoendana na ukataji wa keki kwa ajili kusherekea miaka 64 ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Wakati Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kikijipanga kuwa Chuo Kikuu cha Uchukuzi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekitahadharisha kisitoke nje ya misingi… Read More
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema serikali imejipanga kuwasaidia wanawake katika biashara ikiwemo kuwapa mitaji na teknoloj… Read More
Na Veronica Simba-REA
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika Wilaya za N… Read More
Na. Mwandishi wetu - Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amezindua harambee ya kuchangia ujenzi wa Shule ya Sekon… Read More
Na Mwandishi Maalumu.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na Rais Haikande Hichilema wa Zambia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Ufalme wa Lesotho kama sehemu ya mchakato wa kuta… Read More
Sheikh maarufu Manispaa ya Shinyanga na Kanda ya Ziwa kwa ujumla Sheikh Msafiri Kitumbo ambaye pia ndiye Mratibu wa Maulid za Mtume Mohamed S.A.W Kanda ya ziwa amempongeza na kumfananisha… Read More
MADA ZA AGRF 2023 ZILIZOJADILIWA KATIKA KUMBI MBALIMBALI ZA JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM, TAREHE 7 SEPTEMBA 2023
Imeandaliwa na Nyabanga Daudi Taraba
Mpenzi msomaji kwa siku… Read More
Dakar
Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia kwa njia ya mtandao mkutano wa kimataifa wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI) uliofanyika Jijini… Read More
Waziri wa Maliasili, Mhe. Mohammed Mchengerwa, jana Mei 6, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, Donald Trump Junior, al… Read More
Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko (kushoto kwake) wakimkabidhi hundi ya Sh milioni 100 Mwenyekiti wa Mfuko wa Udhamini wa kudhi… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishauri serikali kuanzisha kanda maalum ya kilimo ili kuwezesha zao kulimwa kwenye mkoa husika unaostahmili zao hilo.
Akichangia bajeti ya w… Read More
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kulia) wakati wa hafla futari iliyoandali… Read More
********** Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao ku… Read More
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama,akizungumza wakati akifungua Baraza la wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umm… Read More
********************Na mwandishi wetu Jeshi la Jeshi la PolisiJeshi la Polisi Nchini linamshukuru mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kuboresh… Read More
Na Faraja Masinde, Mtanzania
Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema p… Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango (kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kufanya ziara ya ku… Read More
Mhe. Stephen Masele akionesha tuzo baada ya kukabidhiwa na uongozi wa kwaya kwa lengo la kutambua mchango wake na ushiriki wake katika harambee hiyo.*****Aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais B… Read More
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa pongezi kwa mbio za hisani za kimataifa zinazoandaliwa na Benki ya CRDB “CRDB Bank Marathon” kwa kufikisha lengo la kukusanya shilingi b… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa katika picha na baadhi ya viongozi kutoka nchi mbalimbali walioshirikia Mkutano wa Tisa wa Kimataifa wa Majiji uliomal… Read More