Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa, kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Amiri wakikata utepe kwenye madarasa 8 na ofisi mbili zilizotolewa na ubalozi huo.
Mkuu wa shule… Read More
Jina langu na Ezekiel kutoka kaunti ya Kajiado, nilikuwa nimenunua shamba ekeri mmoja na kuejenga nyumba ambayo ilikuwa ni makao yangu, hapakuwa na shida yeyote katika eneo lile kwani tulii… Read More
Mamlaka ya Elimu nchini TEA imesema inajivunia kuwa na wanufaika zaidi ya 49,000 nchi nzima walionufaika na mafunzo ya kuongeza ujuzi yaliyoendeshwa na vyuo mbalimbali chini ya mfuko wa ku… Read More
Mwanamke mmoja raia wa Congo ambaye ameolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra barani Afrika.
Francine Jisele anaishi na waume wawili, mum… Read More
Kundi jingine la Watumishi wapatao 14 kutoka kada mbalimbali za Wizara ya Madini ikihusisha Makatibu Mahususi, Watunza Kumbukumbu na Wahudumu wametembelea Mgodi wa North Mara ulio… Read More
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi (TRA) Bw. Richard Kayombo (kulia) wakiangalia jinsi ya kuskani kinyw… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Kanali Boniphace Maghembe (wa pili kushoto) akipokea nyaraka za vifaa mbalimbali vya tiba kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Musa Shunash… Read More