Na mwandishi Maswayetu blog;
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya MUUNGANO kuhakikisha
kwamba nafasi za kazi zote Tanzania zinatolewa kwa usawa na uwazi kwa vijana
wote wanaopambana kutafuta k… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya, amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari, na kuzuka kauli za kwamba Mhe. Rais Samia ameu… Read More
Balozi Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji na kampuni ya DP Wo… Read More
👉Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli
👉Ilikubali masharti mabovu ya… Read More
********** Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao ku… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.Na Dotto Kwilasa,DODOMABAADA ya uzinduzi wa kitabu cha Rais Samia Suluhu Hassan,baadhi ya wadau wa lugha ya kiswahili wameshauri k… Read More
Na Mwandishi Wetu, Aliyekuwa Abuja, Nigeria
Rais Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022.
Tuzo hiyo inatolew… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MCHIMBAJI mdogo wa madini ya Tanzanite,Anselm Kawishe,sasa ni bilionea mpya mjini hapa baada ya kusota miaka 15 akichimba madini hayo na kufanikiwa kupat… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto, wakiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa… Read More