Na Samwel Mwanga,Simiyu
JESHI la polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kukamata watu watatu kwa tuhuma ya kukutwa na Nyara za serikalI ambazo ni wanyamapori Swala wapatao 28 aina ya Thomson wak… Read More
*Asema taratibu zote za kisheria zimefuatwa
Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amebainisha kuwa, suala la mkataba w… Read More
Na MWANDISHI WETU MALUNDE 1 BLOG
Mkazi wa Mtaa wa Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Mseveni Mchele Derefa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, viboko 10 na faini ya Shi… Read More
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani
Na Walter Mguluchuma -Malunde 1 blog - Katavi
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Ernest Lyoba (61) Mkazi wa Kijij… Read More
Mchungaji mmoja kutoka katika Kaunti ya Embu nchini Kenya amefikishwa mahakamani Jumatatu Juni 5,2023 kwa tuhuma za kumbaka muumini wa kanisa lake.
Pasta Benson Mwaniki Njuki wa Kanisa la… Read More
Na Dotto Kwilasa,DODOMA.
MBUNGE wa Geita vijijini Joseph Musukuma ameishauri Serikali kuona haja ya kuwa na utaratibu wa kuwapeleka Waandishi wa habari kushuhudia hali na mfumo wa… Read More
Bundala Rajabu mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua kwa kumziba pua na kumkaba… Read More
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watumishi watatu wa Shule ya Sekondari Kisomachi, iliyopo Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa uchunguzi wa tukio la vifo vya wanafunzi… Read More
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linamtafuta Mariamu Salumu mkazi wa Kisesa mkoani Mwanza kwa tuhuma ya kutelekeza watoto wawili kwa kile kinachodaiwa kushindwa kulipa kodi na kusababish… Read More
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma z… Read More
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Kamishna Msaidizi wa Magereza ACP Nkonge Edwin alipofika gerezani hapo na timu ya wataalam… Read More
Mikono ya mtoto aliyochomwa moto na mama yake mzazi
Na Suzy Luhende, Shinyanga
Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Grace Godwin(23) Mkazi wa Mtaa wa Sido Kata ya Ibi… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma Mhe. Sophia Kizigo akizungumza na Wananchi Kata ya Berege, kijiji cha Berege
Na Mwandishi Wetu Michuzi TV -Mpwapwa
MKUU wa Wilaya ya Mpwapwa mkoan… Read More
Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhiri… Read More
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), James Shimbe ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Usimamizi TCB akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Afisa Kilimo Mwandamiz… Read More
Picha haihusiani na habari hapa chiniNa Halima Khoya - Malunde 1 blogMwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Majid Mohamed,mwenye umri wa miaka 36 Mkazi wa Tinde ameuawa kwa kushambuliwa na… Read More
Na. Abel Paul wa Jeshi la PolisiJeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru kwa tuhuma za unyanyasa… Read More
Na Mwandishi Wetu. KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameombwa kuingilia kati suala la mahabusu 117 ambao wamekuwa gerezani kwa miaka 10 katik… Read More
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Maarifa Matala mwenye umri wa miaka 45, ambaye ni dereva wa daladala na mkazi wa Kimara kwa tuhuma za mauaji ya mtu aliyedaiwa kuw… Read More
Kijana mwenye umri wa miaka 23 amekamatwa na Polisi baada ya kumrushia mayai Mfalme wa Uingereza, King Charles III aliyekuwa akifanya ziara huko Yorkshire Kaskazini.Kabla ya kijana huyo kute… Read More
Na Dotto Kwilasa,DODOMA.CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesimamisha uchaguzi katika mikoa mitatu kwa nafasi zilizoonyesha kuwa na changamoto pamoja na kufuta uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa… Read More
NA HALIMA KHOYA,SHINYANGAMtoto mwenye umri wa miaka 3 (jina limehifadhiwa) mkazi wa mtaa wa dome Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kubakwa mtu ambaye hakufahamika mara moja ka… Read More