Mahakama ya Indonesia imemfunga jela mwanamke mmoja miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka sheria za kukufuru za nchi hiyo katika video ya chakula ya TikTok aliyochapisha mwez… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 ze… Read More
Makamu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Fedha Utawala na Mipango wa chuo hicho, Dkt. Lucas Mwisila akizungumza ameyasema hayo Septemba 8, 2023 katika hafla fupi ya uzinduzi wa J… Read More
Muuguzi katika hospitali ya Nyerere DDH, Nyanchamba Mulaga Musiba akichukua sampuli ya damu kavu kutoka kwa mtoto ambaye mama yake anaishi na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Na Kadama Ma… Read More
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Tanga (RTO) Wiliam Mwamasika akizungumza wakati kuelezea mpango kazi wa Usalama barabara kwa Jiji la Tanga unaendeshwa na Shirika la Amend… Read More
Familia yetu yenye jumla ya watu sita pamoja na dada wa kazi tumeishi kwa furaha katika kipindi chote tukitegema kulishwa na mume wangu katika kazi zake za utafutaji huko Shirika la Reli… Read More
Mchungaji mmoja kutoka katika Kaunti ya Embu nchini Kenya amefikishwa mahakamani Jumatatu Juni 5,2023 kwa tuhuma za kumbaka muumini wa kanisa lake.
Pasta Benson Mwaniki Njuki wa Kanisa la… Read More
Breaking News!! Hatimaye Meridianbet imekuja na promosheni kabambe ya mwaka mzima kwa kumwaga bonasi ya kucheza bure sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.
… Read More
Na Mwandishi wetu
Mahakama ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida imetoa amri ya zuio la muda kwa kwa kikundi cha Vijana Victory Farmers kusafirisha Mbolea ya Samadi iliyokusa… Read More
Naitwa Juma kutoka kijiji cha Nyakimincha, Kisii nchini Kenya, nimekuwa na changamoto nyingi sana katika maisha yangu, ila kuna changamoto moja ndiyo hasa imekuwa ikininyima usingizi kil… Read More
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Kamishna Msaidizi wa Magereza ACP Nkonge Edwin alipofika gerezani hapo na timu ya wataalam… Read More
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
WALIOKUWA wafanyakazi wa kampuni ya Tancoard ambayo kwa sasa inaitwa Sisalana Cordage Factory wameiomba Serikali kuingilia kati suala la notisi ya kuhama… Read More
Wilayani Kyela Mbeya ndipo nilipokulia huko ila kuzaliwa nilizaliwa Tabora mjini pale Cheyo ‘A’ sijui ni lini familia yetu ilihamia huko Kyela kwa kuwa tumeanza kuishi huko… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Kila mwaka, nchi duniani kote, mashirika ya kimataifa yanayohusiana na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) hukusanyika ili kushiriki kesi za sera za uw… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameombwa kuingilia kati suala la mahabusu 117 ambao wamekuwa gerezani kwa miaka 10 katik… Read More
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), James Shimbe ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Usimamizi TCB akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Afisa Kilimo Mwandamiz… Read More
Na Denis Sikonde, Songwe
WAKATI wanawake wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wakiadhimisha siku ya wanawake duniani imeelezwa kuwa katika kipindi cha mwaka 2022 na 2023 jumla ya wanawake 357 na… Read More
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, Athumani Matuma Kilati akizungumza wakati wa Kilele cha madhimisho ya Wiki ya Sheria katika Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati akizindua Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023Na Marco Maduhu… Read More
Jeshi la Ulinzi nchini Uganda limemkamata pasta na maafisa watatu wa polisi kufuatia kisa cha mwanamke mmoja raia wa kigeni kudaiwa kubakwa na kutapeliwa pesa zake.Kukamatwa kwa mchungaji hu… Read More
Na Faraja Masinde, Mtanzania
Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema p… Read More
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Juma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama.Na Marco Maduhu, SHINYANGA TUME ya Utumishi ya Mahakama imefanya mkutano na wadau… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu ameiomba Mahakama iamuru Gazeti la The Citizen kumlipa fidia ya Sh bilioni tatu na k… Read More
Afisa Mradi wa Elimu ya Haki za Binadamu kutoka Shirika la Tusonge CDO, Consolata Kinabo.Na Kadama Malunde - Malunde 1 blogJamii imetakiwa kuacha tabia za kumaliza kesi za masuala ya ukatili… Read More
Jules Kounde na Marcos Alonso Wajibu Kipigo cha Barcelona dhidi ya Bayern MunichBarcelona walipokea kipigo chao cha kwanza katika msimu mpya Jumatano huku maadui wa zamani Bayern Munic… Read More
Mahakama ya kinondoni imemhukumu Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, kulipa faini ya… Read More