Na Beatus Maganja, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amesema Bodi anayooingoza imejipanga kuja na mipango madhubuti ya kuifa… Read More
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza Tanzania CP Nicodemus Menyamsumba Tenga akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa wa Jeshi la Polisi na Magereza ka… Read More
Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro, Jacqueline Senzighe, akizungumza wakati akifungua mafunzo yaliyoratibiwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) ya Wa… Read More
Na Carlos Claudio, Dodoma.
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS) wameweka mpangokazi wa kipindi cha mwaka mmoja, ambao utekelezaji wake utaanz… Read More
Na Oscar Assenga, TANGA.
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini Wallace Karia amesema kwamba ukarabati unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani utakapokamilika utawezesha uwanja… Read More
NA MWANDISHI WETU- KILIMANJARO
SERIKALI imeendelea kuwathamini watu wenye ulemavu nchini ambapo imeendelea kuwapa ajira watu hao huku takwimu zikionyesha toka mwaka 2022 mpaka sasa jumla y… Read More
Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga, Ndugu. Said Kitinga akizungumza wakati akifungua warsha kwa Madiwani, Maafisa Tarafa na wadau wa maji wilaya ya Shinyanga iliyoandaliwa na Mamlaka ya M… Read More
Na,Chedaiwe Msuya-Wizara ya Fedha-Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moj… Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na W… Read More
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024… Read More
Mhe. Chifu Fortune Charumbira
Na Moshi Ndugulile
Rais wa Bunge la Afrika Chief Fortune Charumbira amesema Bunge hilo lina wajibu mkubwa wa kukuza na kuimarisha misingi ya haki za binaada… Read More
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha Mawasiliano ya barabara kati ya w… Read More
Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara mkubwa nchini Emmanuel Mbasha amesema amesikitishwa na taarifa iliyotolewa na Bodi ya Nyama juu ya Mfugaji wa Nguruwe kutoka Bahi Mkoani Dodo… Read More
RAIS wa Iran Ebrahim Raisi (63,) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kutoka Kaskazini Magharibi mwa Nchi hiyo kuanguka AFP Reuters imeripoti.
Eb… Read More
Na Mathius Canal, Morogoro
Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni 97.178
Serikali kupiti… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu ameishauri Wizara ya Mifugo na Uvuvi kukaa na wizara za kisekta ili kusaidia wakulima na wafugaji kuondokana na migogoro.
Amesema migogoro mi… Read More
Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemfukuza kazi mkuu wa shirika linalohusika na ulinzi wake baada ya maafisa wake wawili kukamatwa kuhusiana… Read More
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika Jijini Tanga ambapo alimwakilisha Rais Dkt Sam… Read More
Winfrida Mtoi na Onesmo Kapinga
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro, amekitaka Chama Cha Soka Wilaya ya Temeke(TEFA), kulinda na kuendeleza heshima ya kimpira&nbs… Read More
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar Mmuya,akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya baraza la ushindani (FCT) kwa wadau wa Mkoa wa Dodoma lenye lengo la kukuza na kulinda ushinda… Read More
*Wasema hoja zake hazina mshiko
Na Ashura Kazinja, Morogoro
Katibu wa Siasa, Uenazi na Mafunzo Mkoa wa Morogoro, Zangina Shanang amejibu hoja tano zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadem… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali amesema miaka 85 ya kanisa hilo imekuwa na mafanikio makubwa kwa kuwaunga… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2025.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia… Read More
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya baraba… Read More
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua jiko la gesi katika Kikosi 8… Read More
MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Orxy Energies, Benoit Araman, akiwa na wahariri na waandishi wa habari, baada ya kukabidhi majiko na mitungi ya gesi ya kupikia, Kigamboni, Dar es Salaam, jana… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema uwepo wa Kongamano la Kitaifa la Ushiriki… Read More
Na Seif Takaza, Iramba
MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amewapongeza wananchi wa Mkoa wa Singida kwa kushiriki kikamilifu kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzib… Read More
Na Mwandihi Wetu, Mtanzania Digital
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama ametoa shime kwa Baraza la Uwekezaji wa Wananchi… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
WADAU mbalimbali wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wamekutana katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) na kuichambua bajeti ya Ofisi ya Rais (Mipan… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Tanga akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea wakulima wa zao hilo katika Mtaa wa Sahare Kijijini Kata ya Mzingani Jijini Tanga ambao pia alizungumza na wakulima w… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha,amefungua Rasmi Semina ya Familia,Malezi,Biashara na huduma za Afya, ambayo inaendeshwa na Kanisa la Waadventista Was… Read More
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Bondia Yusuf Changalawe ambaye ni nahodha wa kikosi cha Faru Weusi wa Ngorongoro, Yusuf Changalawe amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano… Read More
Na Mwandishi wetu, Handeni.
Wananchi waliohama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga wamemuomba mkuu wa mkoa huo mhe. Balozi… Read More
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Adv Stephen Byabato akizungumza na wananchi .
Na Mariam Kagenda - Kagera
Katika kipindi cha miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Manispaa ya Bukob… Read More
Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido (kulia) akimkabidhi mwanzilishi wa Maktaba ya Jamii ya Martha Onesmo iliyopo Mwanga mkoani Kilimanjaro kwa mwazilishi wake,Jennifer Dickson (katik… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefany… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kuondoka katika maeneo hatarishi ili kujikinga na mafuri… Read More
*Awataka wana-CCM kuziendea chaguzi kwa kujiamini
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Hapi amesema atahakikisha anasimamia Jumuiya hiyo ili iwe ye… Read More
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroad) Mkoa wa Tanga Mhandisi Dastan Singano akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani
Na Oscar Assenga, TANGA.
SERIKALI kupitia W… Read More
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM), linaadhimisha miaka 17 ya huduma tangu kuanzishwa kwake, huku likijivunia ushiriki wake katika kusa… Read More
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
OFISI ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira imesema inaendelea kutafuta ufumbuzi wa kutatua kero tatu za Muungano zilizobaki huku hadi sasa kero 22 zikiwa tayari… Read More
NA MWANDISHI WETU
MWANZA. Rais Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa juhudi kubwa anazozionesha za kuruhusu kuendelea ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati, ikiwemo inayotekelezwa… Read More
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato na Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Rebbecca Miano (waliosimama) wakikab… Read More
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Jijini Dar es Salaam, Mussa Zungu (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa… Read More
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Kada ya Uuguzi na Ukunga nchini imeiomba Serikali kupitia Wizara ya Afya kuharakisha mapitio ya mapendekezo yake juu ya maboresho pendekezwa ya mgawanyo wa madarak… Read More
Wagombea wa vyama mbalimbali wakiangalia fomu za uteuzi wa wagombea walioteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugombea nafasi ya udiwani Kata ya Kimbiji iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya K… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
AngloGold Ashanti ambayo ni kampuni mama ya Geita Gold Mining Limited imemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa sehemu ya mabadiliko chanya ya u… Read More