Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.
J… Read More
Na: Zainab Ally – Mikumi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamisha Benedict Wakulyamba amesema Miradi ya Ujenzi wa Viwanja vya ndege vinavyoendelea kujengwa katika Hif… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya opereshen… Read More
Tafiti na machapisho yenye kukidhi ubora wa ushindani yanaweza kukisaidia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika kupata ufadhili na miradi itakayosaidia kuongeza mapato ya ndani ya chu… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
BENKI ya CRDB Tawi la Shinyanga imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, huku akiahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Maadhimisho yao yamefanyika leo O… Read More
*Ni baada ya UNFPA na UK AID kuikabidhi vifaa vya uzazi wa mpango
Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital
Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuunga mkono uzazi salama kwani unasaidia afya ya mam… Read More
Maafisa wa Shirika la Viwango Tanzania wakitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara wa kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga kuhusu umuhimu wa kusoma taarifa kwenye vifungashio ikiwem… Read More
Wakazi wa Kijiji cha Kisorya wakiwemo wanawake wajawazito katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wameondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata huduma za afya hususani upasuaji baada… Read More
Kampuni ya Nyumbafasta inaleta suluhisho la kidijitali kwa wapangaji na wenye nyumba nchini Tanzania. Suluhisho hili litawawezesha wapangaji kupata nyumba za kupanga bila malipo ya kodi ya… Read More
*Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
*Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
*TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kucho… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka ameishauri Jamii kuona umuhimu wa kuhifadhi maarifa asili kwa kuweka kumbukumbu za mila na… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
JAMII imetakiwa kuachana na imani potofu zinazomkandamiza mwanamke ili chaguzi zijazo, wanawake wengi wajitokeze kwa wingi katika kugombea uongozi kweny… Read More
Kaimu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga Mwamba Masanja.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga, imembana Mkandarasi kutoka K… Read More