Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
Taasisi ya OMUKA HUB ambayo imejikita katika masuala ya maendeleo na ujumuishi wa kidijitali ikiwemo kuhamasisha matumizi ya mtandao kwa wanawake katika siasa, imefungua mkutano wake jijin… Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Matembezi na mbio fupi za Uzazi Ni Maisha Wogging 2023 yalioanzia viwanja vya Butros Kiembe Samaki n… Read More
Na John Mapepele
Serikali imesema zoezi la kuhama kwa hiari wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomela mkoani Tanga litakamilika Machi 30 mwakani ili kupisha uhifadhi… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfu… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akisoma kitabu mara baada ya kutembelea Maktaba ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Elim… Read More
Viongozi wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria inayojulikana “Mama Samia Legal Aid Campaign”
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog… Read More
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanalipa Micha… Read More
Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akizungumza kwenye Mkutano wa Sungusungu katika Kijiji cha Imenya Kata ya Itwangi,ambapo ametumia fursa hiyo kuwataka kuacha kuj… Read More
Mhadhiri kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Dkt. Cecilia China (Kulia) akionyesha dawa ya asili ya kusindika ngozi ambayo inasaidia kuondoa matumizi na uteg… Read More
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZA MATUKIO
Na Sumai Salum Kishapu
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Holysmile yenye makao yake makuu wilayani Kahama mkoani Shinyanga iliyoanzishwa na kusimamiwa… Read More
Jackson Malangalila mwezeshaji katoka Mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) akizungumza na Musa Juma mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Msingi Shilela
Mwanafunzi wa kidato cha nn… Read More
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Kamishna Msaidizi wa Magereza ACP Nkonge Edwin alipofika gerezani hapo na timu ya wataalam… Read More
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga, Fue Mrindoko na viongozi wa Jumuiya ya Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini na kamati ya utekelezaji wakitembelea na kukagua ujenz… Read More
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katika kukabiliana na vitendo vya udanganyifu, utapeli na upotevu… Read More
•Uoto wa asili, ikolojia vyaanza kurudi kwa kasi katika maeneo yaliyohamwa na wakazi •Matumaini yazidi kuwa makubwa,
•Wadau watoa Ushauri
Baada ya baadhi ya wakazi wa ma… Read More
Mtendaji Mkuu wa OSHA Khadija Mwenda akizungumza na Waandishi wa habari leo Jijini Dodoma Katika ukumbi wa habari Maelezo kuhusu utekelezaji wa majukumu yake.****Na Dotto Kwilasa,DODOMAWAKAL… Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao na waandishi wa Habari Februari 7, 2… Read More
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja, Bi. Anascholastica Ndagiwe akizungumza na Waandishi wa Habari leo Januari 16,2023. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika la Fikra Mpya Bi. Leah Daudi… Read More
Na Faraja Masinde, Mtanzania
Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema p… Read More
Mkurugenzi wa Shirika la TVMC Shinyanga Mussa Ngangala akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika Kata ya Nsalala Halmashauri ya Shinyanga… Read More
Afisa Programu kutoka TGNP, Jackson Malangalila akitoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Lunguya na Sekondari Lunguya halmashauri ya Msalala.Na Kadama Malun… Read More
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza wakati akifungua Semina kwa Mafundi Umeme mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Mwanza iliyoandaliwa na EWURA. Picha na… Read More