Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2024/2025.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Mathew iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wamehamasishwa kujifunza lugha ya Kichina ili kupata fursa zaidi za kuj… Read More
Watu wawili jinsi ya kike wakazi wa Kiwanja Kata ya Mbugani Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wameuawa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka miwili kujeruhiwa kwa vitu vyenye ncha kali nyumb… Read More
Jina langu naitwa Ndaroka kutokea Mwanza nchini Tanzania, wakati naanza mwaka wa kwanza nilimpa mimba mpenzi wangu, nilikuwa naye toka nikiwa kidato cha tano, bahati mbaya alifeli akaishi… Read More
Na Christina Cosmas, Morogoro
MBUNGE wa jimbo la Kilosa mkoani Morogoro Prof. Paramagamba Kabudi amewahimiza wazazi katika kijiji cha Kitange mbili kata ya Mtumbatu kuweka utaratibu wa… Read More
Mkurugenzi wa Shule za Msingi KOM na Shule ya Sekondari KOM Jackton Koyi
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Shule ya Sekondari KOM iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga ni shule inayosif… Read More
........................
Shule ya Feza nchini imesema hivi karibuni imekuwa ikikumbana na changamoto kutoka shule za Serikali kutoka na mindombinu kuboreshwa hivyo kutumia kama chac… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, ameiomba Serikali kumpelekea fedha mkandarasi ili aongeze kasi ya ujenzi katika Shule ya Sekondari Bonyokwa.
Bonnah ametoa… Read More
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude akifundisha mtoto aliyeripoti katika shule ya msingi Maganzo kwa ajili ya kuanza darasa la awali namna ya kuunda herufi
Na Eunice Kanumba,Kishapu… Read More
Magazeti
UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024
Bofya Hapa Kuona WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2024
BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KW… Read More
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri serikali itoe vivutio maalum kwa wawekezaji wanaotaka kujenga vituo vya kujazia gesi asilia ili kusogeza… Read More
Sehemu ya wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari JK Nyerere iliyopo Tarime iliyojengwa na Barrick North Mara wakicheza na kuimba kwa furaha wakati wa mahafali yao shuleni.
P… Read More
Na Mwandishi wetu Malunde Blog Shinyanga
Dkt.Agatha Mgogo ambaye ni Mkurugenzi chuo kikuu huria cha Tanzania mkoa wa Shinyanga ameongoza Mahafali ya Tatu ya darasa la saba 2023 katika Sh… Read More
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (wa pili kushoto) Septemba 15 , 2023 akiangalia futi kamba nundu anayoitumia Mwanafunz… Read More
Na Faraja Masinde, Muheza
Jamii imetakiwa kumtazama ndege aina ya bundi kama fursa na kubadili dhana iliyojengeka kuwa ni uchuro anapotua kwenye makazi.
Hayo yamebainishwa juzi wilayani Muh… Read More
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Old Shinyanga Rashid Mashaka miaka 14 amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa amelala kuungua moto.Tukio hilo limetokea usiku wa k… Read More
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Yahaya Nawanda akiongoza kikao cha RCC.Na Marco Maduhu, SHINYANGAKAIMU Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Yahaya Nawanda, ameongoza kikao cha kamati ya ushauri… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dar es Salaam kuhusu ufadhili kwa wahitimu wa Kidato cha Sita wapatao… Read More
Na Mariam Kagenda _ Karagwe
Wananchi wa wilaya Karagwe wametoa Salamu za shukrani na Pongezi kwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mikubwa ya kimkakati kila sekta iliyoje… Read More
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imepongezwa kwa kuwa miongoni mwa Taasisi za Elimu Tanzania yenye ushirikiano mwema na nchi ya India kwenye masuala ya Teknolojia ya habari na maw… Read More
Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) kwa kushirikiana na Shule ya Sekondari ya Coastal ya jijini Tanga, zimezindua Klabu ya Mkonge kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo imelenga kuwafundisha vij… Read More
MGODI WA BARRICK BULYANHULU WAJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA WASICHANA
Na Marco Maduhu,KAHAMA
MGODI wa uchimbaji Madini ya Dhahabu Barrick Bulyanhulu uliopo Halmashauri ya wilaya… Read More
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Open Innovation Organization (TOIO) Shaukatali Hussein kushoto akifuatilia vijana hao wakiendelea na utengenezaji wa pikipiki zinazotumia umemeVijana wakien… Read More
Mgeni Rasmi katika mahafali ya 13 shule ya Sekondari Isimila iliyopo Mkoani Iringa Bw. Masozi Nyirenda (wa pili kutoka kulia) akiingia ukumbini na msafara wa wahitimu. Kulia ni Mkuu wa Shul… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda..Baadhi ya wadau wa Elimu waliohudhuria kwenye kikao maalum cha Menejimenti ya Wizara ya elimu nchini Jijini Dodoma .Na D… Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 30,000,000.00 kutoka kwa Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Ra… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini pekee. Dhana hiyo imesa… Read More
Samson MasaluSamson Masalu (18) amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kwa kosa la ubakaji, kwani amekuwa akimbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia ku… Read More
Mfano mwanafunzi akivuta bangiMwenyekiti wa mtaa wa Dome Solomon Najulwa akizungumza kwenye kikao cha mtaa huoNa Suzy Luhende, Shinyanga Press Club BlogMwenyekiti wa mtaa wa Dome kata Ndembe… Read More
WANAFUNZI watatu walionusurika kwenye ajali ya Shule ya Lucky Vincent, wamefanya maajabu katika mtihani wa kidato cha nne na kufaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi.Wanafunzi hao ni Doreen E… Read More
Diwani wa kata Bwilingu katika halmashauri ya Chalinze mkoa wa Pwani Mh. Nassar KaramaDiwani wa kata Bwilingu katika halmashauri ya Chalinze mkoa wa Pwani Mh. Nassar KaramaNA ELISANTE KINDUL… Read More
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akipokea maelezo kutoka kwa mmoja washiriki katika maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima yaliyofanyika katika Viwanja vy… Read More