Rostam Aziz akisalimiana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha Umeme wa kutumia gesi nchini Zambia.
Rostam ali… Read More
Meneja wa Programu wa LSF Bw.Deogratius Bwire akipokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango kama Shirika bora linalosaidia ukuaji wa Mashirika madogo yasiyo… Read More
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya opereshen… Read More
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika k… Read More
Na Mwandishi Wetu, KILIMANJARO
MBUNGE wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi… Read More
Vijana 820 wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo, ambao wamehitimu mafunzo yao katika vituo atamizi mbalimbali hapa nchini (Vyuo vya Kilimo), wamei… Read More
*Mahojiano kuhamasisha fursa za uwekezaji Sekta ya Madini Nchini
Na Wizara ya Madini- Bangkok
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo Septemba 7, 2023 alifanya Mahojia… Read More
Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi akizungumza wakati akifungua Warsha ya Mafunzo ya ufuatiliaji na uwajibikaji kwa Mashirika na Asas leo Septemba 4,2023 ka… Read More
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
NAIBU Waziri wa Maji Mhe.Maryprisca Mahundi amefanya ziara kutembelea Mradi wa Usambazaji wa Majisafi kati ya Makongo na Mji wa Bagamoyo ambapo amewapo… Read More
Rufiji. Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwek… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wakati Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI - The U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) ukitimi… Read More
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya, amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari, na kuzuka kauli za kwamba Mhe. Rais Samia ameu… Read More
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya J… Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bi Fat… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL),ili kuchochea shughuli za utalii nchini.
Mtaturu ametoa ushauri huo Mei 22,2023,wak… Read More
Na Mwandishi Wetu-SINGIDA
Programu maalumu ya kuhamasisha Utalii wa Ndani maarufu kama 'Nyuki Safari' imefana kwenye Maadhimisho ya siku ya Nyuki Duniani mkoani Singida ambapo wadau wa… Read More
SERIKALI imesema itaendelea kufanya maboresho mbalimbali kwenye Sekta ya Misitu na Nyuki ikiwa ni pamoja na kufanya marekebisho kwenye Sera, Sheria, Miongozo na Kanuni ili kuongeza ufanisi… Read More
👉 Ujerumani yatoa bilioni 16
Na John Mapepele
SERIKALI ya Ujerumani kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa (GIZ) imetoa msaada wa Euro milioni 6 (16 bilioni) kusaidia juh… Read More
Na Clara Matimo, Buchosa
BAADHI ya wakulima wa kata za Nyakalilo, Kazunzu na Iligamba katika halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamelalamikia mfumo wa ununuzi mbolea ya… Read More
Mhandisi Salum Ngudy akizungumza jambo na wadau wa Maji kuhusiana na miradi ya kuiboresha huduma ya maji safi jijini TangaMitambo ya kusafirisha Maji kutoka Bwawa la mabayaniNa Sal… Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini pekee. Dhana hiyo imesa… Read More
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro N. Kilahala (aliyevaa suti) akisaini mkataba wa ukarabati wa kivuko cha MV. MAGOGONI pamoja na mkandarasi African Marine a… Read More
Na Mwandishi Wetyu, Dodoma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowe… Read More
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga. Picha na… Read More
Na Mathias Canal, WEST-KilimanjaroNaibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amewataka wakazi wa jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro na watanzania wote nchini kushiriki kika… Read More
-Hifadhi ya Taifa Ruaha yasema wanyama wanahangaika, samaki wameanza kufaNa Mwandishi Wetu, Michuzi TV-RuahaIMEELEZWA kwamba Mto Mkuu Ruaha ambao ni kwa uhai wa hifadhi ya taifa ya Ruaha upo… Read More