Mjumbe wa Tume, Jaji (Rufaa) Mhe. Mwanaisha Kwariko akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu, uliofanyika leo tarehe 11 Juni, 2024 jijini Dar es Sa… Read More
Na Mwandishi wetu
Wapiga kura 11,936 wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 09 Juni, 2024 kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zan… Read More
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia Mohamed Abubakar leo tarehe 05 Juni, 2024 wakati akifungua mafunzo kwa Wasimamizi wa vituo na Wasimamizi wasaidizi wa vituo yanayofanyika… Read More
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha,amefungua Rasmi Semina ya Familia,Malezi,Biashara na huduma za Afya, ambayo inaendeshwa na Kanisa la Waadventista Was… Read More
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 Godfrey Mnzava katikati akifungua koki ya maji baada ya kuzindua mradi wa maji wa kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Kata ya… Read More
*Makundi makubwa mawili yaibuka CCM Rory
*Mwenyekiti wa CCM, DC warushiwa kombora, wenyewe wajibu
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
ZIARA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM… Read More
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya M… Read More
SERIKALI inatambua umuhimu wa vivuko na madaraja katika Jimbo la Singida Mashariki ambapo kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini imeweka katika mpango wake kwa mwaka wa fedha 202… Read More
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka inadaiwa amenusurika Kifo baada ya Gari lake kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana.
Taarifa mbalimbali zilizos… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli amewaongoza wanawake wa jimbo hilo kuchanga Sh milioni 4.5 kumwezesha Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea ur… Read More
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Jijini Dar es Salaam, Mussa Zungu (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa… Read More
Na Mariam Kagenda -Kagera
Mbunge wa Jimbo la Ngara mkoani Kagera Mhe. Ndaisaba Ruholo amesema katika kipindi cha miaka 3 wilaya hiyo imeweza kupata miradi mikubwa ya maendeleo t… Read More
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Albert Chalamila amemtaka mkandarasi wa mradi wa barabara ya Kimara , Bonyokwa na Kinyerezi kuhakikisha anajenga … Read More
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (Mb) Peramiho amesema Serikali imefanya maboresho makubwa katika sekta ya e… Read More
Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango akizindua mradi wa kuongeza upatikanaji wa maji kwa wastani wa lita 60 katika Jiji la Tanga na wilaya jirani za Muheza na Mkinga baada ya lita 45 za awali… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Kilomita 73 za barabara zinatarajiwa kujengwa kwa lami katika awamu ya pili ya Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) na kuwaondolea kero wananch… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amewaongoza wajumbe wa mfuko wa jimbo kukagua miradi iliyotengewa na kutekelezwa kwa fedha za mfuko huo kiasi cha Sh 67,498,970 kwa mwaka 2022/… Read More
Na Nora Damian, Mtanzania Digital
Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, ameiomba Serikali kumpelekea fedha mkandarasi ili aongeze kasi ya ujenzi katika Shule ya Sekondari Bonyokwa.
Bonnah ametoa… Read More
-ASEMA HATAPEWA MUDA WA NYONGEZA
-WANANCHI 7121 KUNUFAIKA NA MAJI BAADA YA KUKAMILIKA
NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amemuagiza Mkandarasi anayetekeleza Miradi ya Maji ya… Read More
TAARIFA KWA UMMA JUU YA UVUNJIFU WA MAADILI YA UANDISHI WA HABARI
Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC), ni klabu iliyosajiliwa kwa sheria ya Society Act Mwaka 1994 na… Read More
SKOFU SANGU FarajaFM December 25, 2023 0
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, amesema Kanisa halijawahi kufundisha au kuhalalisha muungano wa kindoa… Read More
Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira na wenye ulemavu ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ameipongeza Jumuiya ya wazazi wa Chama Cha Ma… Read More
Naibu wa Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango- Kiabakari-Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa Ujenzi wa mradi huo ili… Read More
Na Mwandishi Wetu, Ifakara-Morogoro
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) imewasha Kituo cha Kupoza na… Read More
Na Mwandishi Wetu, MKINGA.
MBUNGE wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastan Kitandula ametoa msaada wa Vyakula na Fedha kwa Kaya 36 zilizopo kwenye Kata ya Manza na Mtimbwani wananchi katika Kijiji c… Read More
Na. Gideon Gregory, Dodoma.
Kiongozi wa Uinjilisti Kanisa la Moravian Nkuhungu Jijini Dodoma Mch. Boaz Mwazyunga ametoa wito kwa kanisa hilo jimbo la Kaskazini kuwa na mpango wa kuandaa w… Read More
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameonekana kutoridhishwa na hatua ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ambap… Read More
Watu kumi wamefariki dunia wakati kimbunga kikali kikipiga katika miji miwili katika jimbo la Jiangsu mashariki mwa China.
Hilo ni tukio la hivi karibuni la hali mbaya ya hewa kuikumba nc… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu amehoji serikali mpango wa kujenga nyumba za askari polisi ikiwamo Wilaya ya Ikungi kutokana na wengi wao kulazimika kupanga nyumba mitaa… Read More
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ,Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Chalinze.
NA ELISANTE KIN… Read More
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiwahutubia Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
********************… Read More
Mbunge wa Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dk. Damas Ndumbaro amewataka wataalam wa Halmashauri ya Songea pamoja na mkandarasi anayejenga hospitali ya Wilaya ya S… Read More
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (wa tatu kushoto) akifuatilia maelezo ya Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Advera Bulimba wakati alipokwenda kutatua mgogoro wa… Read More
Mhandisi Mwelekezi wa Mradi wa Ujenzi wa bwawa la tope katika mgodi wa Williamson Diamond Limited, Mhandisi Anael Macha akimuonesha eneo la bwawa jipya katika Mgodi wa Mwadui Waz… Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,wakati akiuliza swali la nyongeza bungeni jijini Dodoma katika swali la msingi alilouliza kwa niaba ya Mbunge wa Kondoa Mjini Ally Makoa aliyeta… Read More
ZAIDI ya watu 260 wanaripotiwa kufariki dunia nchini India na wengine 900 wamejeruhiwa baada ya treni mbili za abiria na nyingine ya mizigo kugongana huko katika Jimbo la Odisha lililopo… Read More
Na John Mapepele.
Serikali imesema hakuna mwananchi aliyenyanyaswa kijinsia, wala mifugo ya mwananchi yeyote (Ng’ombe 250) kuporwa au taarifa ya mtu yeyote kutaka kujinyonga pia haku… Read More
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa kufunga Kongamano la kujadili Sera na Mitaala Mipya ya Elimu ya Awali, Msingi, sekondari na Ualimu lililofa… Read More
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Nyanza Ukanda wa Dhahabu (Nyanza Gold Belt) limewafuturisha Waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Shinyanga ikiwa… Read More