Afisa wa polisi wa Eldoret amejisalimisha kwa mamlaka baada ya kudaiwa kumpiga mumewe risasi 12 mara kumi na mbili kufuatia mabishano makali baada ya zamu yake.
Afisa huyo wa polisi wa ut… Read More
Sehemu ya wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari JK Nyerere iliyopo Tarime iliyojengwa na Barrick North Mara wakicheza na kuimba kwa furaha wakati wa mahafali yao shuleni.
P… Read More
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. ADAM KIGHOMA MALIMA amewataka wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania-TPA kutumia michezo ya bandari 2023 kuimarisha afya zao na kuongeza tija… Read More
Na John Mapepele
Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhifadhi leo tarehe 19 Oktoba, 2023 wamempongeza n… Read More
Mamlaka ya Elimu nchini TEA imesema inajivunia kuwa na wanufaika zaidi ya 49,000 nchi nzima walionufaika na mafunzo ya kuongeza ujuzi yaliyoendeshwa na vyuo mbalimbali chini ya mfuko wa ku… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mh. Jaffar Shekimweri na Katibu Wa Ccm Mkoa wa Dodoma Mh. Pili Augustine Mbanga ni miongoni mwa viongozi walioguswa… Read More
Chuo cha Uhasibu Arusha [IAA] Kimeanza kutoa Masomo ya Ujasiriamali Kwa Vijana wanaojiunga na chuo hicho kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuweza kujiajiri pindi wanapo hitimu masomo katik… Read More
Mwanamke mmoja raia wa Congo ambaye ameolewa na waume wawili, amewaduwaza wengi ikizingatiwa kwamba ndoa ya waume wengi ni nadra barani Afrika.
Francine Jisele anaishi na waume wawili, mum… Read More
Kundi jingine la Watumishi wapatao 14 kutoka kada mbalimbali za Wizara ya Madini ikihusisha Makatibu Mahususi, Watunza Kumbukumbu na Wahudumu wametembelea Mgodi wa North Mara ulio… Read More
Mhandisi Uchimbaji Mwandamizi wa mipango kazi mirefu na wa chini ya ardhi kutoka GGML, Emanuel Njabugeni (kushoto) akiwaelezea wageni kutoka nchini Uganda namna GGML inavyotumia teknoloji… Read More
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 ze… Read More
Wakazi wa Kijiji cha Kisorya wakiwemo wanawake wajawazito katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wameondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata huduma za afya hususani upasuaji baada… Read More
Na. WAF, Mtwara
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu Septemba 13, 2023 ametembelea Hopsitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula na kukagua miradi ya jengo jipya la upasuaji, jengo… Read More
MADA ZA AGRF 2023 ZILIZOJADILIWA KATIKA KUMBI MBALIMBALI ZA JULIUS NYERERE, DAR ES SALAAM, TAREHE 7 SEPTEMBA 2023
Imeandaliwa na Nyabanga Daudi Taraba
Mpenzi msomaji kwa siku… Read More
#Waziri Mavunde awakaribisha kuwekeza Sekta ya Madini
#Balozi Mavura- Ushirikiano kati Tanzania, Korea ya Kusini unaendelea kuimarika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia… Read More
Vijana 820 wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo, ambao wamehitimu mafunzo yao katika vituo atamizi mbalimbali hapa nchini (Vyuo vya Kilimo), wamei… Read More
*Dkt. Biteko asema biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India
Arusha
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na… Read More
Na Dotto Kwilasa, DODOMA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Angikana Central Dodoma (DCT) lililop… Read More
Jina langu ni Kev, ni kijana wa miaka 24 kutokea Mathare, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini Kenya na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri.
Kwa sasa n… Read More