Mamlaka ya Elimu nchini TEA imesema inajivunia kuwa na wanufaika zaidi ya 49,000 nchi nzima walionufaika na mafunzo ya kuongeza ujuzi yaliyoendeshwa na vyuo mbalimbali chini ya mfuko wa ku… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa vyuo vikuu kuzingatia ufanyaji wa tafiti zenye tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika gunduzi mbal… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na Wathibiti ubora wa shule jijini Arusha.
Mkurugenzi Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule Bw.Ephraim Simbeyi,akizungu… Read More
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Bi Bahati Geuzye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma
******************
Mamlaka ya… Read More
Siah Malle akitoa tathmini ya miradi ya kiuhandisi iliyobuniwa na wahandisi vijana wa kike katika na Maonesho na Kongamano la 8 la Wanawake Wahandisi Tanzania (TAWECE) yaliyofanyika Zanzib… Read More
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula akiongea na watumishi wa taasisi hiyo mara baada ya kuwasili
Makamu Mkuu wa Taa… Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Rwezimula amesema Vyuo vya Ualimu, VETA na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi vina mchango mkubwa katika mageuzi ya elim… Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati wa Kikao kazi cha kujadili usimamizi ya utafiti na maendeleo nchini kilichofanyika leo Julai 31… Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe,akikabidhi zawadi kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la Uandishi wa Insha kwa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) n… Read More
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya uwekezaji mkubwa kwenye Vyuo vya Ualimu nchini kwa kujenga majengo mapya, kukarabati pamoja na kuweka vifaa vya kufundishia… Read More
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa kufunga Kongamano la kujadili Sera na Mitaala Mipya ya Elimu ya Awali, Msingi, sekondari na Ualimu lililofa… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Stadi za Ufundishaji kwa Walimu wa Elimu ya Awali na Msingi iliyofanyika jijini Dar e… Read More
MGODI WA BARRICK BULYANHULU WAJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA WASICHANA
Na Marco Maduhu,KAHAMA
MGODI wa uchimbaji Madini ya Dhahabu Barrick Bulyanhulu uliopo Halmashauri ya wilaya… Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda anatarajia kufungua maonesho ya nane ya Utafiti na Ubunifu yanayotarajia kuanza Mei 23 - 25, 2023 katika Viwanja vya Maktaba Mpy… Read More
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa sekta ya Misitu na Nyuki kukamilisha mkakati wa kuongeza uzalishaji wa asali toka tani 35000… Read More
Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuj… Read More
Baadhi ya wahitimu wakipokea vyeti kutoka kwa mgeni rasmi
Baadhi ya wahitimu wakipokea vyeti kutoka kwa mgeni rasmi
Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa akiongea… Read More
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joaqium Alberto Chissano amewasili nchini kushiriki hafla ya utoaji tuzo ya Kitaifa ya Mwl. Nyerere ya Uandishi Bunifu inayotarajiwa kufanyika Aprili 13, 202… Read More
Veronica Simba na Issa Sabuni – REA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani Singida na ime… Read More
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku wanafunzi wa kuanzia madarasa ya awali hadi darasa la tano kusoma shule za bweni (boarding).Kupitia waraka uliotolewa… Read More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Elimu, Utafiti na Ubunifu kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Anthony Mshandete akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Shin… Read More
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Nyankumbu wakijisomea maktaba (library). Shule hii ya wasichana ni ya mfumo wa sayansi na inawanafunzi zaidi ya 1050, imesheheni vifaa vya maabar… Read More